kiswahili ndio kigumu zaidi, MASTERS ni SHAHADA ya pili wakati POSTGRADUATE ni STASHAHADA YA UZAMILI.
acha uongo ww!!kwani shahada ya pili inatofauti gani na shahada ya uzamili(masters)?
kiswahili ndio kigumu zaidi, MASTERS ni SHAHADA ya pili wakati POSTGRADUATE ni STASHAHADA YA UZAMILI.
Duh mkuu ukisema shahada ya uzamili ndo MASTERS yenyewe unaposema post graduate una maana shahada yoyote ya juu baada ya shahada ya kwanza inaweza kua post graduate diploma, masters au PhD ( Shahada ya Uzamivu ) labda wasomi wengine watatusaidia pia.