Korozoni
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 264
- 106
Habari za mchana wana Jukwaa!
Samahani sana kwa usumbufu naomba kujua kama Ada ya mafunzo ya Ualimu ngazi ya Cheti kozi ambayo imetangazwa hivi karibuni baada ya kuondolewa Stashahada ya Elimu ya Msingi imebaki kuwa ile ile ya Stashahada ambayo ni 600,000 au imepungua?