mhalisi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 1,181 Reaction score 322 Sep 18, 2011 #1 Wadau naomba kuulizia ada ya kusoma masters degree katika vyuo vya ukraine na russia
matumbo JF-Expert Member Joined Jul 9, 2011 Posts 7,224 Reaction score 3,960 Sep 18, 2011 #2 Nenda kwenye google utapata kila info uko
jamii01 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 1,988 Reaction score 1,437 Sep 18, 2011 #3 Tafadhali naomba sana kama una ndoto ya kwenda Russia naomba uharishe tofauti na hapo utajikuta umekwisha kuwa ubwabwa sababu ya life ilivyobana..kama unataka just inbox me nikupe info.zaidi
Tafadhali naomba sana kama una ndoto ya kwenda Russia naomba uharishe tofauti na hapo utajikuta umekwisha kuwa ubwabwa sababu ya life ilivyobana..kama unataka just inbox me nikupe info.zaidi
B BILLY2TRY Member Joined Dec 3, 2008 Posts 53 Reaction score 5 Sep 18, 2011 #4 Ni kweli inabidi ujipange hasa kuishi Russia pia ujue karate!!! kuna ubaguzi wa hali ya juu kwa watu weusi!!!
Ni kweli inabidi ujipange hasa kuishi Russia pia ujue karate!!! kuna ubaguzi wa hali ya juu kwa watu weusi!!!
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,358 Sep 18, 2011 #5 Mkuu russia co nchi nzuri kwa kuishi,hasa wewe mwenye ngozi nyeusi.
engineerm Senior Member Joined Aug 30, 2011 Posts 106 Reaction score 19 Sep 18, 2011 #6 mhalisi said: Wadau naomba kuulizia ada ya kusoma masters degree katika vyuo vya ukraine na russia Click to expand... mkuu maeneo ya huku Russia ada za masters zinatofautiana kulingana na kozi unayotaka kusoma,wewe kozi gani ulitaka kusoma ili nikupe gharama halisi?
mhalisi said: Wadau naomba kuulizia ada ya kusoma masters degree katika vyuo vya ukraine na russia Click to expand... mkuu maeneo ya huku Russia ada za masters zinatofautiana kulingana na kozi unayotaka kusoma,wewe kozi gani ulitaka kusoma ili nikupe gharama halisi?
mhalisi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 1,181 Reaction score 322 Sep 18, 2011 Thread starter #7 nataka kusoma masters of business administration
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,770 Reaction score 4,656 Sep 18, 2011 #8 hvi hadi unaingia hapa jf kwanni hujagoogle vyuo vya russia na ukraine ili upate uhakika zaidi?hbu acha kusumbua watu jihangaishe
hvi hadi unaingia hapa jf kwanni hujagoogle vyuo vya russia na ukraine ili upate uhakika zaidi?hbu acha kusumbua watu jihangaishe
engineerm Senior Member Joined Aug 30, 2011 Posts 106 Reaction score 19 Sep 19, 2011 #9 mhalisi said: nataka kusoma masters of business administration Click to expand... mkuu ada ya hiyo kozi hasa kwa jiji la Moscow ni kati ya $4000 hadi $5500,kwa vyuo vilivyopo miji mingine kuanzia $3000 hadi $4500
mhalisi said: nataka kusoma masters of business administration Click to expand... mkuu ada ya hiyo kozi hasa kwa jiji la Moscow ni kati ya $4000 hadi $5500,kwa vyuo vilivyopo miji mingine kuanzia $3000 hadi $4500