Ada ya interview, hii imekaaje?

kivyako

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
14,341
Reaction score
12,069
Kuna chuo kikuu kipya maeneo ya kimara kinaitwa Tanzania International University ambacho kimetangaza nafasi kibao za kazi, na watu watakaoitwa kwenye usahili inabidi watumbukize kwanza elfu20 kwenye account ya chuo! Hivi jamani hii ni sahihi? au kwa vile mi sio mzoefu wa mambo haya ya interview?
Source: mapokezi ya chuo.
 
Hii ni aina nyingne ya wizi wa macho macho, au utapeli: kwa mfano wakiita watu 2,000 kwenye interview watatengeneza kiasi gani?! Mwenye kujua hesabu vizuri atusaidie: (20,000 * 2,000 = ??)
 
Kwa kawaida ukihudhuria interview unatakiwa ulipwe posho sio wewe ulipe. Ama kweli dunia mzunguko.
 

Dalili za ujio wa tz mpya ndani ya ccm!!
 
TANZANIA INTERNATIONAL UNIVERSITY
P.O. BOX 9858, Tel: +255 767 011344
DAR ES SALAAM
TANZANIA - EAST A
E-mail: smnzava@yahoo.com Website: main page
Dear Sir/Madam,
Kindly be informed that we are a newly TCU registered university
in Tanzania located at Kimara Mwisho along Morogoro road - Dar es Salaam, on the due reason that we don't have our own staff we have decided to hire interview panel to sanction the recruitment exercise. For that reason you are asked to deposit the T.shillingtwenty thousands a non refundable as interview fee to TANZANIA INTERNATIONAL UNIVERSITY at CRDB Bank, Account No: 0150315938200, Please send/bring the copy of your Bank slip to TIU Main Campus- Kimara or email to: smnzava@yahoo.comwe thank you again for showing interest to work with TIU.

With Regards,

Dr. Mnzava, PhD
VICE CHANCELLOR - TIU
 
watawalipa nini wakisha waajiri kama hiyo ya interview tu ni issue?
PHd nyingine ovyo kabisa. na hao watakaoenda kwenye interview ni wajinga pia.
 
binafsi kila interview wanayoniita nawataarifu kabisa wanilipe hela yangu ya kutwa otherwise siendi, kama wakishindwa kunilipa hela ya siku moja hawawezi kunilipa kwa mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…