Kigilagilagatirumo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 503
- 734
Wakuu serikali iliongeza ada vyuo vya ualimu maradufu kama ifuatavyo;cheti 300,000/=,stashahada masomo ya sanaa 400,000/=,stashada masomo ya sayansi 600,000/= source:mwanainchi july 28. Je stashahada ya awali watalipa sh ngapi?
Ndugu wana jamii forum,Wenzetu wameshachaguliwa kujiunga na mafunzo ya stashahada ya ualimu wa awali kwa ada ya sh. 600000/= Je? katika uhalisia wa kawaida kwa maisha ya mtanzania wa chini kuna haki yoyote kughamia gharama za meal and accomodation pamoja na ada laki sita unasomea ualimu wa vitoto, vidudu au chekechea? WATOE BOOM WAACHE UJINGA
Ndugu wana JamiiForums,
Wenzetu wameshachaguliwa kujiunga na mafunzo ya stashahada ya ualimu wa awali kwa ada ya sh 600000/=
Je? katika uhalisia wa kawaida kwa maisha ya Mtanzania wa chini, kuna haki yoyote kumgharamia gharama za meal and accomodation pamoja na ada laki sita unasomea ualimu wa vitoto, vidudu au chekechea?
WATOE BOOM WAACHE UJINGA.
Me mwenyew nimechaguliw hyo awali pale kabanga sasa ht cielew elew yan wan jf
Kwenye vyuo vya serikali hayo malipo ni kwa ajili ya ada pamoja na gharama za chakula, BTP, na hostel.