Actuarial science vs bsc in environmental engineering

mr lema

Member
Joined
Oct 26, 2017
Posts
9
Reaction score
0
Et rafiki zangu Kati ya kozi tajwa hapo juu niipi the best pia ni marketable
 
Saw ila sijui career zake
Actuarial science hii kozi inafundishwa udsm tuu hii kozi inahusiana na mambo ya risk, kazi zake huwa katika mashirika ya bima na sehemu zingine za hesabu kiufupi hii kozi inahitaji mtu aliye fanya vizuri hesabu na Mara nyingi uchukuliwa watu wenye division one mzuri na vilevile hii kozi inachukua watu wachache sana
 
Sawa mkuu
 
kasome Actuarial science. Ni kozi nzuri sana, ina watu wachache sana sokoni. kazi zao ni katika taasisi za bima na mifuko ya hifadhi ya jamii.
 
Ingependeza zaidi kama mngeelezea na bsc environmental engineering ili mtu alinganishe. Mmeipamba actuarial science bila kueleza ufinyu wake wa ajira. Karibuni mifuko ya pensheni itapunguzwa na kubaki miwili tu hivyo mianya ya ajira kupungua. Ni vigumu kujiajiri na actuarial science.
 
Unaweza kuwa teacher wa tuition kwa primary..! Milinganyo huwa inazingua sana level zile..!
 
Ingependeza zaidi kama mngeelezea na bsc environmental engineering ili mtu alinganishe. Mmeipamba actuarial science bila kueleza ufinyu wake wa ajira. Karibuni mifuko ya pensheni itapunguzwa na kubaki miwili tu hivyo mianya ya ajira kupungua. Ni vigumu kujiajiri na actuarial science.
Mm sijui vizuri environment engineering kazi zake hapa bongo ingawa watu wanaochaguliwa uwa na ufaulu wa kawaida hata div 2 na 3 uwa wanachaguliwa kusoma kwahiyo unavyo ilinganisha actuarial science na environment unakosea sea sana hii kozi labda ungelikanisha na petroleum engineering km unapenda kuwa engineer sio environment hata PCB wanosoma, Hv kiongozi ufaulu wako kiwango gan? tusiwe tuna jisumbua kukushauri actuarial vigezo vyako vikawa vya kusoma environment
 
Actuarial science hii kozi inafundishwa udsm tuu hii kozi inahusiana na mambo ya risk, kazi zake huwa katika mashirika ya bima na sehemu zingine za hesabu kiufupi hii kozi inahitaji mtu aliye fanya vizuri hesabu na Mara nyingi uchukuliwa watu wenye division one mzuri na vilevile hii kozi inachukua watu wachache sana
Institute na sisi tunayo tayari
Cc:wavujajasho
 
Mm sijui vizuri environment engineering kazi zake hapa bongo ingawa watu wanaochaguliwa uwa na ufaulu wa kawaida hata div 2 na 3 uwa wanachaguliwa kusoma kwahiyo unavyo ilinganisha actuarial science na environment unakosea sea sana hii kozi labda ungelikanisha na petroleum engineering km unapenda kuwa engineer sio environment hata PCB wanosoma, Hv kiongozi ufaulu wako kiwango gan? tusiwe tuna jisumbua kukushauri actuarial vigezo vyako vikawa vya kusoma environment
Division one
 
Back
Top Bottom