yampwai Member Joined May 16, 2013 Posts 27 Reaction score 6 Feb 5, 2016 #1 wakuu wa jukwaa hili naombeni msaada juu ya tatizo hili kwenye computer yangu ambapo natumia hp ( window 10 ) ila kuna huu ujumbe nimekua nikiupata ukinitaka ku activate window mwenye uelewa juu ya hili naomba anieleweshe
wakuu wa jukwaa hili naombeni msaada juu ya tatizo hili kwenye computer yangu ambapo natumia hp ( window 10 ) ila kuna huu ujumbe nimekua nikiupata ukinitaka ku activate window mwenye uelewa juu ya hili naomba anieleweshe
Desire 92 New Member Joined Mar 1, 2013 Posts 2 Reaction score 0 Feb 6, 2016 #2 Chek me 0718656547 napatikan morocco no technical issue
mnyaga1 Senior Member Joined Sep 24, 2014 Posts 184 Reaction score 104 Feb 6, 2016 #3 Tafuta microsoft toolkit, inaactivate
mhuni JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 955 Reaction score 594 Feb 6, 2016 #4 na mm tatzo ni hilo hilo
Desire 92 New Member Joined Mar 1, 2013 Posts 2 Reaction score 0 Feb 6, 2016 #5 Mwenye tatizo kama hilo solution 0718-656547
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,144 Reaction score 3,848 Feb 6, 2016 #6 Pakua hiyo kitu halafu rudisha mrejesho, kinafnya kazi kuanzia windows xp mpaka windows 10 editions zote Cc: yampwai, mhuni Attachments Re-Loader.zip Re-Loader.zip 1.4 MB · Views: 24
Pakua hiyo kitu halafu rudisha mrejesho, kinafnya kazi kuanzia windows xp mpaka windows 10 editions zote Cc: yampwai, mhuni
20PROFF JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 8,217 Reaction score 7,260 Feb 6, 2016 #7 WAHEED SUDAY said: Pakua hiyo kitu halafu rudisha mrejesho, kinafnya kazi kuanzia windows xp mpaka windows 10 editions zote Cc: yampwai, mhuni Click to expand... Nice
WAHEED SUDAY said: Pakua hiyo kitu halafu rudisha mrejesho, kinafnya kazi kuanzia windows xp mpaka windows 10 editions zote Cc: yampwai, mhuni Click to expand... Nice
yampwai Member Joined May 16, 2013 Posts 27 Reaction score 6 Feb 6, 2016 Thread starter #8 nashukuru mkuu kwa msaada wako tatizo langu limekwisha thanx alot WAHEED SUDAY