PHILIPLULINDA
Senior Member
- Jun 1, 2013
- 181
- 89
ACT Tanzania yaendeleza wimbi la kubomoa ngome za chadema,hapa lushoto Mkoa wa tanga, hii ni baada ya alikuwa mgombea umwenyekiti wa kijiji cha kwembago kurudi act wazalendo. Nimwendelezo wa ACT kukubalika na kuhama ndani ya chadema na vyama visivyo na utetezi wa kweli kwa wananchi. Na pia matusi. Wanachama Zaid wsmechukua kadi na kuamua kurudi kwa wazalendo. Karibuni wananchi wote wapenda mabadiliko.
........hii ni baada ...... kurudi act wazalendo.
ACT Tanzania yaendeleza wimbi la kubomoa ngome za chadema,hapa lushoto Mkoa wa tanga, hii ni baada ya alikuwa mgombea umwenyekiti wa kijiji cha kwembago kurudi act wazalendo. Nimwendelezo wa ACT kukubalika na kuhama ndani ya chadema na vyama visivyo na utetezi wa kweli kwa wananchi. Na pia matusi. Wanachama Zaid wsmechukua kadi na kuamua kurudi kwa wazalendo. Karibuni wananchi wote wapenda mabadiliko.
Hebu mnisaidie mie Neutral enyi wenye ACT yenu
ACT imeanzishwa kwa dhumuni LA kupambana na CHADEMA tu? Siwasikii mkiongelea CUF, TLP, CCM wala vyama vinginevyo
Hebu msaada ili nipate benchmark sahihi kupima mafanikio yenu
ACT Tanzania yaendeleza wimbi la kubomoa ngome za chadema,hapa lushoto Mkoa wa tanga, hii ni baada ya alikuwa mgombea umwenyekiti wa kijiji cha kwembago kurudi act wazalendo. Nimwendelezo wa ACT kukubalika na kuhama ndani ya chadema na vyama visivyo na utetezi wa kweli kwa wananchi. Na pia matusi. Wanachama Zaid wsmechukua kadi na kuamua kurudi kwa wazalendo. Karibuni wananchi wote wapenda mabadiliko.
ACT Tanzania yaendeleza wimbi la kubomoa ngome za chadema,hapa lushoto Mkoa wa tanga, hii ni baada ya alikuwa mgombea umwenyekiti wa kijiji cha kwembago kurudi act wazalendo. Nimwendelezo wa ACT kukubalika na kuhama ndani ya chadema na vyama visivyo na utetezi wa kweli kwa wananchi. Na pia matusi. Wanachama Zaid wsmechukua kadi na kuamua kurudi kwa wazalendo. Karibuni wananchi wote wapenda mabadiliko.
Watu hovyo kama wewe mnazidi kuididimiza ACT. Sijaona chama makini cha upinzani kinajisifu kumbomoa mwenzake. Tumieni akili hata kidogo. Mtajikuta kaburi moja na TLPACT Tanzania yaendeleza wimbi la kubomoa ngome za chadema,hapa lushoto Mkoa wa tanga, hii ni baada ya alikuwa mgombea umwenyekiti wa kijiji cha kwembago kurudi act wazalendo. Nimwendelezo wa ACT kukubalika na kuhama ndani ya chadema na vyama visivyo na utetezi wa kweli kwa wananchi. Na pia matusi. Wanachama Zaid wsmechukua kadi na kuamua kurudi kwa wazalendo. Karibuni wananchi wote wapenda mabadiliko.