ACT Wazalendo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 620
- 1,543
...tuna imani, wapiga kura ndani ya bunge letu tukufu hawatatuangusha...huyu ni zaidi ya wengine wote, ktk wagombea wa upinzani...hapana shaka, sasa ni masha dhidi ya wenje...Leo mchana tumewasilisha fomu za mgombea wetu wa Bunge la Afrika Mashariki ndugu Kitila Mkumbo, tunasubiri hatua ya mwisho ya uteuzi.
Hii hapa chini ni CV ya Mgombea wetu Prof. Kitila Mkumbo
ha ha haaaa!ntakuwa hapa kuhakikisha jambo hilo!!Kwa upande wa upinzani, huyu mgombea ndiye anaefaa, na lazima apite kwani wapiga kura wengi wapo chama tawala, Kitila Mkumbo hana makwele kwele kama Wenje na Masha, alafu chadomo wanajifanya wajuaji ngoja wale jeuri yao.
Asipopita huyu nabadili jinsia.