karama kaila
Senior Member
- Jan 30, 2015
- 122
- 60
kakijiji kamoja hakawezi kuinyima ccm usingizi
Sasa ccm na act kunatofaut gani? Tuweni wawaz tu jamani mnamdanganyaga nan sasa? Watanzania waleo sio waleeee
Haya maneno ya Watanzania wa leo siyo wa jana mmeyageuza kuwa misemo?Sasa ccm na act kunatofaut gani? Tuweni wawaz tu jamani mnamdanganyaga nan sasa? Watanzania waleo sio waleeee
Umenikumbusha mkuu. Wakati Masumbuko lamwai aliposhinda udiwani kata ya manzese dsm Kingunge NM alisema kata moja haiwezi kuinyima ccm usingizi. Kesho yake gazeti moja likaandika kichwa cha habari kikuuuubwa.kakijiji kamoja hakawezi kuinyima ccm usingizi
Umenikumbusha mkuu. Wakati Masumbuko lamwai aliposhinda udiwani kata ya manzese dsm Kingunge NM alisema kata moja haiwezi kuinyima ccm usingizi. Kesho yake gazeti moja likaandika kichwa cha habari kikuuuubwa.
CCM KUENDELEA KUUCHAPA USINGIZI: KINGUNGE.
Mzee akaitwa kujieleza akasema alinukuliwa vibaya. Na wewe mkuu angalia usije ukanukuliwa vibaya!