ACT Wazalendo waibomoa Ukawa na Lowassa KIGOMA

ACT Wazalendo waibomoa Ukawa na Lowassa KIGOMA

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024

​

Wana Kigoma wasema wamechoshwa na ahadi dhaifu za Lowassa.
 
Hivi kuna ahadi zaifu na imara ?
Je ccm ahadi zao ni dhaifu au imara ?
Je wanatimiza hizo ahadi zao ?
 
​

Wana Kigoma wasema wamechoshwa na ahadi dhaifu za Lowassa.

Ukweli nikwamba kigoma lazima iweze kujitambulisha yenyewe na viongozi wake wa kigoma na sio kupitia chama kingine bali kupitia chama cha wazalendo wa tanzania na wanakigoma wenyewe kutambulisha matatizo yao ili yatatuliwe na serekali pamoja na kuutetea uma wa tanzania nzima katika serekali ijayo.
 
Umenena Kiongozi. NDIO MAANA walimzome Ukawa baada ya kuwatukana wana Kigoma.
 
Mimi mkazi wa kigoma lakin ukawa sana tu na kwa zito nilikwenda kusikiliza sera zake lakin lowasa ndio rais wangu yaan we acha tu
 
Za yule kigeugeu zote ni dhaifu.

NASEMA HIVIIIIIII #MUMEKWISHA AWAMU HII NAONA MNATAFUTA PAKUTOKEA HADI MNAMPAPATIKIA ZITTO NA HII INAONYESHA NI JINSI GANI UKAWA INAWANYIMA USINGIZI...yani sisi ata tukilikosa hilo jimbo haina tabu sana ila KURA ZA URAIS TUNAZO NYINGI ZA KUTOSHA TU,Alafu unaposema Ahadi za lowassa ni dhaifu zipi imara????...Au hizi za Makomeo za MILLION.50 KILA KIJIJI na BARABARA YA NJIA SITA YENYE FLYOVER SABA???
 
NASEMA HIVIIIIIII #MUMEKWISHA AWAMU HII NAONA MNATAFUTA PAKUTOKEA HADI MNAMPAPATIKIA ZITTO NA HII INAONYESHA NI JINSI GANI UKAWA INAWANYIMA USINGIZI...yani sisi ata tukilikosa hilo jimbo haina tabu sana ila KURA ZA URAIS TUNAZO NYINGI ZA KUTOSHA TU,Alafu unaposema ahafi za lowassa dhaifu zipi imara????...Au hizi za Makomeo za MILLION.50 KILA KIJIJI na BARABARA YA NJIA SITA YENYE FLYOVER SABA???
Hujui usemalo.

CCM tunaenda kata kwa kata, jimbo kwa jimbo, wilaya kwa wilaya, Mkoa kwa Mkoa, KAMWE HUTO WEZA KUSHINDA HII MBINU Ambayo yule KIGEUGEU hawezi kwasababu ya udhaifu wake.
MUNGU MBARIKI MH. JOHN P.J. MAGUFULI​
 
Hakuna kitu hapo, Lowassa alifanya Mkutano wake uwanja mkubwa sana wa Mwanga Community Centre, ambao ni nadra kuujaza kama alivyoujaza na kuutikisa! Ili kukwepa kuaibika, ACT wakaaamua kwenda kufanya Mkutano wao kiwanja hiki kidogo, ili paonekane pamejaa! Danganya toto ninyi!!!! Lowassa na UKAWA ni namba nyingine!!!!!!
 
​

Wana Kigoma wasema wamechoshwa na ahadi dhaifu za Lowassa.

Anaebomolewa ni ccm sio ukawa mana hawajashika nchi naona vyama vya ukawa vishakuwa vyama vikuu ss Act + ccm mmekuwa upinzani so funny
 
Mimi mkazi wa kigoma lakin ukawa sana tu na kwa zito nilikwenda kusikiliza sera zake lakin lowasa ndio rais wangu yaan we acha tu

sawa ila mazuzu huwa hayakosekani sehem yoyet ile ,wew ndo unafanya wakigoma kudharauliwa
 
Back
Top Bottom