Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 2,437 Reaction score 5,235 Mar 28, 2025 #1 Katibu wa cha ACT Wazalendo mkoa wa Njombe Stanley Mbembati amesema chama chao kinaunga mkono kampeni ya chama cha CHADEMA ya No Reforms No Election kwani kama yatafanyika mabadiliko wanayoyahitaji yatanufaisha vyama vyote vya kisiasa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Mbembati ameeleza hayo wakati akizungumza leo Machi 28,2025 . Ikumbukwe kuwa Membati siku ya Jumatano ya wiki hii alishiriki katika mkutano wa CHADEMA uliofanyika mjini Makambako maeneo ya sokoni. Your browser is not able to display this video.
Katibu wa cha ACT Wazalendo mkoa wa Njombe Stanley Mbembati amesema chama chao kinaunga mkono kampeni ya chama cha CHADEMA ya No Reforms No Election kwani kama yatafanyika mabadiliko wanayoyahitaji yatanufaisha vyama vyote vya kisiasa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Mbembati ameeleza hayo wakati akizungumza leo Machi 28,2025 . Ikumbukwe kuwa Membati siku ya Jumatano ya wiki hii alishiriki katika mkutano wa CHADEMA uliofanyika mjini Makambako maeneo ya sokoni. Your browser is not able to display this video.
erasto Samwel JF-Expert Member Joined Sep 10, 2024 Posts 211 Reaction score 273 Mar 28, 2025 #2 Safi sana
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 165,751 Reaction score 184,582 Mar 29, 2025 #3 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw
UHURUWANGU Member Joined Mar 11, 2025 Posts 54 Reaction score 85 Apr 1, 2025 #4 No Reform, No Election