Act wazalendo na umoja

Act wazalendo na umoja

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2014
Posts
643
Reaction score
1,603
Umoja ndiyo nyenzo muhimu ya kukabiliana na changamoto ambazo zinatukabili leo na kesho. Kama nchi ambayo imejaliwa utajiri na tofauti za kijamii mbalimbali kama vile utamaduni, kabila, dini, lugha, na siasa, tunahitaji kusimama pamoja ili kuweza kujenga taifa moja la Tanzania ambalo kila mmoja anafurahia kuwa sehemu yake.

Kwa hiyo mapambano na shida za kundi moja ni mapambano na shida zetu sote. Kwa kuzingatia historia yetu ya kupigania umoja na maelewano katika bara la Afrika na duniani kwa ujumla, ACT inatambua umuhimu wa umoja na ushirikiano na majirani zetu na hivyo itashirikiana na nchi nyingine katika kusukuma mbele ajenda ya Umoja wa Afrika ili kuweza kujenga nguvu za pamoja katika kujiendeleza kiuchumi, kiutamaduni na kisiasa.
 
"CCM mkitaka #KURA yangu semeni ukweli nani anahusika na hizi tuhuma? na wahusika wamechukuliwa hatua gani?
-Katiba pendekezwa nani aliyaondoa maoni ya wananchi ambayo yalikuwepo kwenye rasimu ya Warioba?
-Mabehewa feki
-Kiwira
-Richmond
-Epa
-Escrow
-Epa
-Dowans
-IPTL
-NET GROUP SOLUTIONS
-Usafirishaji wa wanyama nje ya nchi mfano twiga alipandaje ndege?
-Biashara ya pembe za ndovu
-Biashara ya madawa ya kulevya
-Meremeta
-Mikataba ya gesi na mafuta
-Uuzwaji wa nyumba za serikali
Nahitaji majibu ya hayo maswali siyo poro
 
hahahah, kumbe huyu mtoto wa CCM bado yupo. nilifikiria kashia pale mbagala. kanyonye bana@ACT Wauza Urembo
 
Mbwembwe=CCM
Ulaghai= UKAWA
Misingi na Sera= ACT wazalendo

Sisi ni wazalendo
 
Back
Top Bottom