Hansen Nasli
JF-Expert Member
- Mar 18, 2012
- 883
- 338
UJUMBE KWA WAFANYABIASHARA.
Kama wafanyabiashara tunafanya kazi kwa nguvu na tunapambana katika kazi zetu kutengeneza mustakabali wetu na taifa pia. Kutoka wamiliki kwenda kwa mameneja wenye mitaji mikubwa, kutoka kwa wachuuzi katika mitaa ya Arusha mpaka mashirika makubwa ya Dar es Salaam, wamiliki wa gereji(karakana) mpaka viwanda vikubwa, wote hawa tunafanya kazi kwa bidii kujenga nchi yetu. Tunatengeneza ajira na mitaji, tunatengeneza bidhaa na kusafirisha mikoani, tunatoa mikopo, tunatoa bima, ushuru, miradi, na hivyo kuungana na serikali katika ubia ili kuchochea maendeleo kwa nchi yetu tunayoipenda kuona maendeleo yake. Tusipotimiza wajibu wetu juhudi zetu zitaangamia na kufifia, tunahitaji kuweka mikakati itakayoimarisha fedha yetu na kuishauri serikali kukemea makampuni dhidi ya riba ngumu zinazokuwa na mlengo wa benki za kibiashara na tunapaswa kulinda rasilimali zetu. Lakini pia, tunahitajika kulinda yote mazuri dhidi ya washindani wasio waadilifu. Kwa kujiunga na kuwa wanachama wa ACT-Wazalendo, tutakuwa na wakati mzuri wa kuinua hali ya jamii ya wafanyabiashara. Kama walipa kodi waaminifu katika sekta ya wafanyabiashara, tunawajibu wa kupaza sauti zetu tusikike. ACT-Wazalendo, Taifa kwanza!