ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,052
- 6,197
SABAYA ni kituko cha karne hii.inaonekana hawa viongozi hawajitambui au wamejitoa ufahamu!
hawajui huyo Mbowe anakabiliwa na shitaka la Ugaidi? halafu wanalishinikiza jeshi la polisi kuwa wamwachie huru!! kwani ametekwa?! halafu wao wanapata ujasiri wapi wa kuingilia vyombo vya dola pale vinapo tekeleza wajibu wao? mbona alipo kamatwa sabaya alilipongeza jeshi la polisi kwa kuchukua hatu? Huyu jama ndio wanafiki wenyewe hawa, ndumila kuwili.
Sheria ni msumeno leo sabaya kesho Mbowe n.k.
DC kufikishwa mahakamani kwa jambazi/uporaji wajameni, analinganishwaje na anaeongoza wanaosaka Katiba Mpya.
Hivi ma CCM ndio mmeishiwa uwezo wa kutafakari kiasi hicho?
Mlichohitaji ni kujitafakari sana ili kujua KITU kama hiki kilipataje uteuzi wa Rais.