Kicheba One
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 399
- 194
Wanajamvi,
Kila siku zinavyokwenda chama cha ACT kitakufa mapema sana 30/06/2015 na hakitashiriki uchaguzi Mkuu mwaka huu
Sababu hizi hapa.
1: Mgogoro wa nani ni ACt halisi kati ya ACT wazalendo ya zitto na ACT Tanzania ya Limburg
2: Kutangaza kuwa lowassa akienguliwa ccm wanamkaribisha agombee urais militia Act -hapa wametangaza mgogoro na wafadhili wao ECCM
3:Kutagaza wabunge 50 watajiunga naACT baada ya binge kuvunjwa wametangaza vita na vyama vyote kwakua hawajasema wanatoka chama gain
4:Katibu Mkuu wao mwigamba aliwahi kutangaza kuwa wataisambaratisha cuf mikoa yote ya kusini na pwani hapa wana mgogoro na cuf
5:Kiongozi Mkuu wa act kuebua mgogoro na mmiliki wa IPP media hivyo amegombana na media
6:Act kutegemea mshambuliaji mmoja Zitto na kuwanyima fursa wengine akiumia Mkuu wa chama itakuwa mwisho wa act kwakua Mkuu wa chama hawapi nafasi wengine
7: Kunyakuwa wanachama wa Ukawa waliochoka ambao walidumaza upinzani kwa uvivu wakutofanya kazi walipokuwa Ukawa
8:Kupambana na Chadema isiyokuwa na dola na kuicha ccm ikipumua kwa raja
9: kiongozi wao Mkuu aliwahi kusema muungano wa ukawa ni wawasakatonge
10:kiongozi wao Mkuu asipotoka kujenga chama hakuna MTU mwengine je Mkuu wa chama akiumwa itakuwaje?