mnyalukoloh
Member
- Jun 8, 2015
- 74
- 33
ACT itakuwa na mbunge mmoja tu,zitto kabwe.Hakuna mwingine anayeweza kushinda ubunge ndani ya act,hata hao watakaohama kutoka kwenye vyama vyao vya sasa hawawezi kushinda. Tukutane hapa October 30, 2015.
Mkuu kwa hiyo hiki chama kitakuwa sawa na tadea,sau,updp na jahazi asilia! Sipati picha zitto atakavyokuwa taabani,lazima ajisalimishe magamba ni!zzk hawez pata ubunge mwaka huu
Hiyo hoja haina mashiko,ngoja niwape mfano hai mmoja tu,kigoma peke yake majimbo yote yatakua chini ya zk,kigoma hawaangali chama wanaangalia mtu na mtu wao zk.nccr inakufa kifo cha mende,
Ikiwa zimbaki siku chache kufikia siku ya ziara ya kiongozi mkubwa wa ACT wazalendo na kamati yake chama hicho kimeendelea kuwanyima usingizi wanachadema pamoja na watani wao wa CCM kuona kila uchao viongozi na wanachama wao wakikimbilia ACT Wazalendo. Na Pia umetokea uungwaji mkono mkubwa kwa ACT Wazalendo kutoka mojo ya makundi yaliojitokeza baada ya vurugu zilizojitokeza ndani ya chademamjini vwawa mbozi.
Chama cha ACT Wazalendo kimeonekana kuwa kimbilio kwa wanachama wanaoshindwa kuridhishwa na uhaba wa demoklasia katika vyama vyao.
Mpaka sasa tangu kutokea kwa mgogolo ndani ya chadema, ACT Wazalendo imepokea zaid ya wanachama mia nane ktk wilaya ya momba na mbozi na kati ya hao themanini walikuwa ni viongozi.
Katika upande wa kitaifa act wazalendo imeshapokea zaid ya wabunge kumi na wanane wanao toka CCM na chadema pamoja na wanasiasa mashuhuri.
Na wengine kibao wanaosubiri tuu kipyenga waanze kuvua magwanda.
Kiufupi act wazalendo ndo chama pekee cha upinzani kwa sababu kina upinzani kutoka pande zota tofauti na CHADEMA inayopokea upinzani tuu kutoka CCM na ACT Wazalendo.
sijawahi kuona Msengi empty kama wewe,"masala nzi maki dyusilo".kwa hiyo Msaliti atagombea majimbo yote hako kigoma.unajua kwa nini msaliti kakimbia jimbo?Hiyo hoja haina mashiko,ngoja niwape mfano hai mmoja tu,kigoma peke yake majimbo yote yatakua chini ya zk,kigoma hawaangali chama wanaangalia mtu na mtu wao zk.nccr inakufa kifo cha mende,
Hivi zitto akishinda ubunge kigoma Mjini ni nani atakuwa amepoteza kati ya CHADEMA na CCM? Zitto ni kinyago cha CCM, walidhani ataidhuru CHADEMA sasa ameanza kuichokonoa CCM akishirikiana na fisadi Lowassa.Chadema mnajuana wenyewe na kinyango mlicho chonga wenyewe kitawasumbua sana mwaka huu lazima mlale na viatu.