ACT - Wazalendo kuzindua operation majimaji nchi nzima

wewe kweli hujatulia na utaishia kujiconfuse ata kuwa mwehu, mda mfupi tu ulikuwa ukishambulia lowasa, apa tena unampamba zito, hujui kuwa mfadhili wa zitto ni edward lowasa?? miafrika bhana ya aina hii ndivyo yalivyo...

Naona unajichanganya mwenyewe!
 
hiki chama cha kishenzi sana, ni sawa kile cha nazi chini ya hitler, kina sera za fascism, kinatangaza ujamaa mbuzi bila aibu huku viongozi wake wakimiliki hammers na mahekalu.

karne 21 sio 19;
miundo mbinu lami; magari; ac; computer; mobile phone.
 
Majimaji muasisi wake ni Kinjekitile ACT wameiga,Ujamaa muasisi wake ni Nyerere ACT wameiga,ACT wameasisi kitu gani ambacho wanaweza wakajivunia zaidi ya usaliti?.
 
Hiki chama cha kishenzi sana, ni sawa kile cha Nazi chini ya Hitler, kina sera za fascism, kinatangaza ujamaa mbuzi bila aibu huku viongozi wake wakimiliki hammers na mahekalu.
Kamanda vipi ule uzi wako wa ACT-Wazalendo uliofungua umekuchosha?
 
Baada ya operation ya kwanza kuanzia Iringa - Butiama
Chama cha ACT wazalendo kinakuja na operation majimaji na hii majimaji ni kuenzi vita ya majimaji.
Tulivyopingana na ukoloni.

Hii ni kuondoa mawazo ya kikoloni kwa vyama vya siasa na kurudi katika siasa yetu ya ujamaa na kujitemegea;

Pia wenye nia na ubunge , uraisi na udiwani - mwongozo ushakamilika

Pokeeni ujio mpya wa operation majimaji

ACT-wazalendo

Nadhani hii itakuja baada ya lowasa kutanza nia ya kuhamia act wazalendo
 
Naona mumeamua kuwekeza majimbo 59 tu kati ya majimbo 200 na! Kwisha habari yenu.
 
Back
Top Bottom