ACT- Wazalendo kulienzi azimio la Arusha mkoani humo

Oct 3, 2016
95
71
Mkutano Mkuu wa Kidemokrasia wa ACT Wazalendo umeazimia kwamba Chama kifanye maadhimisho ya miaka 50 ya Azimio la Arusha Mwezi Februari mwaka 2017 Kwa kufanya Mkutano Mkuu wa Kidemokrasia jijini Arusha Na kutanguliwa Na Halmashauri Kuu ya chama kwenye ukumbi ule ule ambao Chama cha TANU kilifanya Mkutano uliozaa Azimio la Arusha mwaka 1967.

Imeshauriwa kuwa wataalamu mbalimbali wa ndani Na Nje ya Nchi ya Nchi waalikwe kujadili mafanikio Na changamoto za Azimio la Arusha katika miaka 25 ya kutekelezwa kwake Na madhara yake tangu lizikwe huko Zanzibar mwaka 1992
 
Hawa jamaa si wana azimio lao la Tabora? Limeshasahaulika mara hii wanataka kudandia la Arusha? Ndio maana yule jamaa alisema hawa jamaa kama popo vile - sio ndege sio mnayama.
 
Back
Top Bottom