ACT wazalendo kujipendekeza kumewafikisha wapi?.
Ina bidi mfanye uamuzi maana chama chenu kime-mezwa na katiba ya zanzibar ya serikali ya mseto na wale wanzanzibari wenu hawajali tena kushinda zaidi ya kuwa kwenye madaraka na wako tayari kuwa namba mbili na ukweli sio wapiganaji wanapenda umwinyi.
Sasa chama chenu Tanzania -bara kimekufa rasmi maana nani atawaamini tena na wenzenu Chadema wamekuwa chama cha kinachosema ukweli, kuona mbali na more strategic.
Sasa nyie viongozi kushidwa na machawa wa darasa la saba si bora mngepigania haki na chaguzi huru. Kura gani sasa zimelindwa!!!!
zitto junior , Pascal Mayalla