ACT wagoma kusaini matokeo Arusha

ACT wagoma kusaini matokeo Arusha

Mwangaza

Senior Member
Joined
Feb 26, 2008
Posts
198
Reaction score
64
Katika hali ya kushangaza, mgombea ubunge jimbo la Arusha Mjini kupitia chama cha ACT Megro Mollel amegoma kusaini matokeo ya uchaguzi japo amepata kura 342 tu kati ya kura halali 104,353 kwa kila alichodai kwanini Lema kashinda bila kutaja sababu ya malalamiko yake.

Katika uchaguzi huo mgombea wa CHADEMA. Godbless Lema ameshinda kwa kura 68,848 akifuatiwa na Amon Mollel wa CCM kwa kura 35,907
 
Attachments

  • acti chalii.jpg
    acti chalii.jpg
    62.7 KB · Views: 2,750
Amepewa maelekezo na kiongozi mkuu wa chama.
 
Teh teh teh......

Chama mama kimemtuma kufanya hivyo ili angalau kuficha aibu ya kushindwa

BACK TANGANYIKA
 
Aende mahakamani maana imekua Fashion
 
Mbona km hata Mgombea wa CCM hajasaini???

Au amezimia amelazwa hospital kwa hasara kubwa aliyoipata baada ya kutapanya hela nyingi kwny campaign na kuangukia pua???
 
Yale maandama ya kumpongeza magufuli wana act tutayafanya lini? naomba ufafanuzi tafadhal.
 
Kama anadhani kibiwa kura basi akafanyiwe vipimo vya ubongo
 
sasa mkuu Mwigamba ni ushauri gani huu wa kumpa mgombea wako ?
 
Act waliambiwa ukisimamisha wagombea wengi zaidi hata kama watapata kura mbili Luzuku ndo inaongezeka.
 
Yaani hawa ACT ingelikuwa ni wa CCM ameshinda hapo angesaini FASTER!!!!!!!!! kama ilivyokuwa kwa Mgombea urais wa JMT jinsi alivyokubali haraka kwa sababu alitangazwawa CCM.

lakini hapa ameoan ni CDM ndio maana anakataa!!!!
 
kweli mkuu hata Handeni CCM jana walishinda ACT wakasaini fasta na kuungana na wanaccm kuimba iena iena!
 
Kama vipi warudie uchaguzi kati yake na Lema (wawili tu) halafu atakayeshindwa alipie gharama za marudio na kula viboko hamsaishirini...
 
Hasira za kutoswa na Yuda Oskariot!!

Back
Top Bottom