mimi ni mwanachama mpya wa ACT. Ila kilichonishangaza ni kibwakizo chetu katika mkutano wa jana
Mwenyekiti mpya akivyosema ACT...Waitikiaji ulikuwa ni mchanganyiko..wengine waliitikia ..TANZANIA wengine ..WAZALENDO...yaani hata mwenyekiti akuelewa alibaki akiduwaa
Na mi nilikuwa sijui kumbe kuna ACT mbili
Naombeni TOFAUTI YA HIZI ACTs Nami nifanye uamuzi kwani nimeshaingia siwezi toka...humu humu mpaka kieleweke ila naomba tofauti nami nichague niende ipi
Shukrani
Umeadimika naona Ayattolah anawahesha.Mimi na mzee wangu Kadawi Limbu tunaitambua ACT tanzania..
Tulia tu humo ndani ya chama na siku zinavyozidi kwenda utajijua upo ACT ipi kati ya hizo kadhaa ulizozitaja.
mkuu umeniua mbavuKuna ACT ayatollah na ACT Limbu
mimi ni mwanachama mpya wa ACT. Ila kilichonishangaza ni kibwakizo chetu katika mkutano wa jana
Mwenyekiti mpya akivyosema ACT...Waitikiaji ulikuwa ni mchanganyiko..wengine waliitikia ..TANZANIA wengine ..WAZALENDO...yaani hata mwenyekiti akuelewa alibaki akiduwaa
Na mi nilikuwa sijui kumbe kuna ACT mbili
Naombeni TOFAUTI YA HIZI ACTs Nami nifanye uamuzi kwani nimeshaingia siwezi toka...humu humu mpaka kieleweke ila naomba tofauti nami nichague niende ipi
Shukrani
uchafu mtupu