Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,821
Ni hapa hapa unganeni na Chadema kudai Reforms.
Mnakumbuka kada mmoja wa CCM aliandika barua ya kulalamika kwamba Samia Hana sifa ya kugombea akapuuzwa na msajili Hadi akafungua kesi mahakamani?
Mpaka sasa hakuna majibu ya kesi hiyo na Kuna dalili kwamba ikapigwa chini. Sasa huu moto wa mpina kutenguliwa kugombea na msajili wa vyama ndiyo ilikuwa kete sahihi ya ku spark reforms kwasababu taasisi zote zinazo gusa uchaguzi zimewekwa mfukoni. Kama zinaona makosa ya wengine ya chama dola hazioni sasa mnataka Nini tena.
Sina mengi.
"Hasta la victoria siempre" i