ACT kumeguka tena

Sasa mbona anatoka kwenye kilio anaenda kwenye mazishi.
 
Bado weeweeeeee.............
 
ACT works best with CDM, kuna haja ya Zitto kukaa na CDM na kuzungumza, Zitto will thank me for this ....
Brother umesema ukweli ila ukikumbuka sababu zilizomtoa Zitto chadema ni ule ukaskazini. Hivyo tusimtegemee bwana MBOWE na Mzee MTEI siku moja wakubali kushirikiana na Zitto.. Upinzani bado una kazi kubwa ya kufanya ili kuitoa Ccm. ukawa Ungekuwa imara kwa maana ya kuhusisha vyama vingi zaidi vya upinzani wakawa na formal political coalition ingewezekana. Tofauti na hivyo tumeshuhudia kuparaganyika kwa mahusiano ya Ukawa ktk chaguzi za madiwani na mbunge huko Zanzibar.kila chama ( cuf na cdm)wameweka wagombea wao. Lowasa alitarajiwa na wengi kuimarisha Ukawa ili ifikapo 2020 kazi iwe rahisi lakini kashindwa na matokeo yake tumeshuhudia pia mpasuko mkubwa cuf. Lowasa hana mvuto tena miongoni mwa wananchi na hata wanachama wa cdm.
 
Nilipowaambia Prof Ndeli atstwaa Jimbo povu kama omo sasa mtaelewa, Siasa ni chama kwanza hata km MTU ni imara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…