ACT kumeguka tena

IKWETE

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
4,057
Reaction score
696
Wimbi la wanachama waandamizi wanaokihama chama cha ACT WAZALENDO Kwa Siku za karibuni limezidi kuongezeka baada ya muasisi na kiongozi mashuhuri wa chama hicho jimbo la Chalinze mkoa wa Pwani, Mwalimu Gasper Shoo kuamua kurejea CHADEMA.

Shoo ambaye hajatangaza rasmi Siku ya kuhamia Chama chake cha zamani, amenukuliwa Mara kadhaa akitamka kuwa ameshamaliza taratibu za msingi za kuhamia Chadema na wanachosubiri tu ni muda. 'It is a matter of time tu broo....' Alisema Shoo.

Kwa Simu za Karibuni, jinamizi la kukimbiwa na wanachama wake limekuwa likiiandama
 
Waende tu hawawezi kujitegemea hao
 
Hakuna neno.....ametoka upinzani ameenda upinzani....

Ni kama alivyofanya Kafulila...katoka NCCR kenda CDM.

Sote lengo ni moja tu...kuitoa CCM madarakani.....

Njia tunazotumia kuitoa ni tofauti...wengine wanatumia gari...wengine baskeli......ukiwa ACT ni kama unatumia ndege kufika kule uendako (uharaka)
 
ACT works best with CDM, kuna haja ya Zitto kukaa na CDM na kuzungumza, Zitto will thank me for this ....
 
Mtabiri?
 
Kashindwa kustahimili ukata. Kujenga chama yataka moyo.
 
Hivi yule babu wa kutetemekea MIC bado yupo Chadema?!..... [HASHTAG]#Tafakarikwakina[/HASHTAG]
 
Act ni kundi la wahuni tu
 
Cc:mcubic
 
Act siyo chama cha upinzani
 
Bado hawajastuka Chadema nako fedha imeanza kukauka!
 
Act hakina zaidi ya miezi 6 kitakuwa kimebakia kwenye t shirts zenu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…