Maisha,Ukawa hawawezi kuungana na ACT wanajishumbua tu,intelejisia ilishakamilika zitto na chama chake ni ccm B
Bahati mbaya afya ya zitto inaendelea kudorora baada ya kuona mpango unazama
Asipoangalia huyu kijana ataishi maisha mafupi sana sababu ya mawazo.
Kuna taarifa za chinichini kwamba ATC wanakusudia kujiunga na UKAWA ili kuongeza nguvu ya upinzani dhidi ya CCM. Hii ni kwa sababu ACT wanaamini katika umoja na mshikamano na wanatambua kwamba UMOJA NI NGUVU. Nakumbuka siku Zitto alipozindua ACT alisema chama hiki hakina uadui na chama chochote. Nadhani alikuwa anajenga mazingira ya kutaka kuungana na UKAWA baadaye ili kuongeza nguvu katika safari ya kuelekea Magogoni.
MAONI YANGU
Kwa kuwa viongozi wa ACT wana chembechembe za usaliti, nawashauri UKAWA wasiwakubalie ACT kujiunga nao. Nina hofu huenda ACT wanatumiwa na CCM kutaka kuwavuruga UKAWA. Kuweni na hao wasaliti.
:israel:
Bado mtateseka sana subiri ACT wazalendo walizindue azimio la Arusha ili watangaze uzalendo. Hivyo vyama ambavyo viongozi wenu wanafanya business na chama hatuvitaki ni vya kifisadi na act inapinga ufisadi kwa vitendo.
Kuna taarifa za chinichini kwamba ATC wanakusudia kujiunga na UKAWA ili kuongeza nguvu ya upinzani dhidi ya CCM. Hii ni kwa sababu ACT wanaamini katika umoja na mshikamano na wanatambua kwamba UMOJA NI NGUVU. Nakumbuka siku Zitto alipozindua ACT alisema chama hiki hakina uadui na chama chochote. Nadhani alikuwa anajenga mazingira ya kutaka kuungana na UKAWA baadaye ili kuongeza nguvu katika safari ya kuelekea Magogoni.
MAONI YANGU
Kwa kuwa viongozi wa ACT wana chembechembe za usaliti, nawashauri UKAWA wasiwakubalie ACT kujiunga nao. Nina hofu huenda ACT wanatumiwa na CCM kutaka kuwavuruga UKAWA. Kuweni na hao wasaliti.
:israel:
Mnaotabili tabili uongo kwenye jukwaa hili muache,ACT ni ya watanzania wote,ni ya wazalendo.Haina ukanda wala udini.....!ilihali CHADEMA wenyeviti tangu ianze wote ni wa kilimanjaro kaskazini na ukileta ubishi wanakuharibu na utajutia kujiunga nao
Itabidi sasa kuunda 'ukawa' nyingine itakayowahusisha ccm, ayatollah na act yake pamoja na dovutwa.ccm watawakubalia waingie huko??
Kuna taarifa za chinichini kwamba ATC wanakusudia kujiunga na UKAWA ili kuongeza nguvu ya upinzani dhidi ya CCM. Hii ni kwa sababu ACT wanaamini katika umoja na mshikamano na wanatambua kwamba UMOJA NI NGUVU. Nakumbuka siku Zitto alipozindua ACT alisema chama hiki hakina uadui na chama chochote. Nadhani alikuwa anajenga mazingira ya kutaka kuungana na UKAWA baadaye ili kuongeza nguvu katika safari ya kuelekea Magogoni.
MAONI YANGU
Kwa kuwa viongozi wa ACT wana chembechembe za usaliti, nawashauri UKAWA wasiwakubalie ACT kujiunga nao. Nina hofu huenda ACT wanatumiwa na CCM kutaka kuwavuruga UKAWA. Kuweni na hao wasaliti.
:israel:
ivi tofauti ya act wazalendo na act tanzania ni ipi?
Zitto hafai kuwa kiongozi ni msaliti mkubwa!!!
hahaha wanafiki utawajuwa tu.hawaishi kusalitianaIvi tofauti ya ACT WAZALENDO na ACT TANZANIA ni ipi?
Kwa mara ya kwanza hebu mtueleze Zitto aitwapo Msaliti huwa mnamaanisha nini hasa? Kweli huwa sielewi kabisa, wakati mwingine najijazia majibu mwenyewe kwamba Pale anapotangaza Maovu ya CDM ndiyo huitwa Msaliti. Kama ndiyo ilivyo basi hakuna haja ya kuwa Upinzani nchini ikiwa mambo yao yote yanafanana, kufuga waovu. Ndivyo mnavyotafsirika, si kosa langu.