ACT kujiunga UKAWA

Inavyoonekana ni kwamba zitto moyo wake bado uko cdm ila mwili uko act. Bado anamis michango na support ya makamanda wenzake kina mdee, lisu, mnyika na wengineo. Ukawa watumie busara zaidi katika hili.
 
Hoja ya kuwapelekea watoto wa darasa la kwanza,usaliti wa zzk ni upi mbona mnaropoka,au shule zenu ndio za kununua paper,eti act ni wasiliti,MNAKERA WAPUUZI WAKUBWA
 
ACT nje ya UKAWA ni pigo kwa UKAWA, iwapo ACT itasimamisha wagombea kule Kigoma ambapo NCCR ina wabunge wengi ni dhahiri, kura za Wabunge hao zitagawanywa na hivyo kupelekea wabunge hao kuwa ktk wakati mgumu.

Lakini pia iwapo ACT itasimamisha mgombea ktk jimbo la Kawe, kule kura za Halima mdee zinaweza kupungua kwa sababu kule tegeta kuna wafuasi wengi wa ACT

ACT imebadirisha equations nzima ya UKAWA. UKAWA hawana budi kukaa na ACT na kuangalia ni namna gani ya kuunganisha nguvu, kwa sababu Hat
a kama ni kura moja ingeenda kwa ACT, Ukawa wanaihitaji hiyo.
 
Bado mtateseka sana subiri ACT wazalendo walizindue azimio la Arusha ili watangaze uzalendo. Hivyo vyama ambavyo viongozi wenu wanafanya business na chama hatuvitaki ni vya kifisadi na act inapinga ufisadi kwa vitendo.
 
Last edited by a moderator:
Napenda vyama kuungana lakini si kila muungano ni mzuri, tunapoungana tunaunganisha sela na itikadi, ACT wamejipambanua kuwa ni wajamaa itakuwa ngumu sana kwa kipindi hiki kifupi kuwabadili ili waendane na wenzao wa mlengo wa kati.
 
Mnaotabili tabili uongo kwenye jukwaa hili muache,ACT ni ya watanzania wote,ni ya wazalendo.Haina ukanda wala udini.....!ilihali CHADEMA wenyeviti tangu ianze wote ni wa kilimanjaro kaskazini na ukileta ubishi wanakuharibu na utajutia kujiunga nao
 
wewe ni sawa na wale walio mjengoni wakuitikia tu ndiooo.... Pasipo jua kitu wanacho kiitikia

Umekosea ungeanza na kumwambia wale wanaoulizws na spika WALE WANAFIKI WASEME NDIO NA WALE WASIOWANAFIKI WASEME SIO''
 
Mtoa mada inaonekana bado unampenda sana zitto,huyo kshatoka hata uandke vp. Act haipo kama akili yako inavyowaza dogo.
 

mkuu kwanini usiwashauri wajiunge CCM?
 
Last edited by a moderator:
mnaotabili tabili uongo kwenye jukwaa hili muache,act ni ya watanzania wote,ni ya wazalendo.haina ukanda wala udini.....!ilihali chadema wenyeviti tangu ianze wote ni wa kilimanjaro kaskazini na ukileta ubishi wanakuharibu na utajutia kujiunga nao

wewe acha kudanganya watu hicho chama chenu kimekaa ki ukigoma na ndo maana huku kigoma wanadai act ni chama cha watu wakigoma na kimekaa kiudini zaidi kuliko hata vyama vyote vilivyowahikutokea.baadhi ya watu wa kgm wanasema sasa hivi wamepata chama chao.sasa wewe kama si wa kgm ujue unapanda usafiri usio wako zaidi zaidi uwe muislamu.
 
Lissu na Slaa ndo afya zao inaendelea kudorora, umpe sikia habari za sumu ACT? kama sio Chadema wafalme wa madaraka!!! Fungua macho kijana.

kwani kolimba mlimlisha ubwabwa?
 
ACT ni wachumia tumbo tu hawana lolote,ZZK amekuwa kama mfalme Mswati hongera yake.maaana wanafanana sifa zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…