Act 2015 ndani ya Ikulu

Act 2015 ndani ya Ikulu

kailakarama

Member
Joined
Aug 30, 2014
Posts
73
Reaction score
30
Ikulu ni mahali patakatifu wazalendo tutahakikisha mafisadi wanatoka na manyang'au hayaendi.
2015 ni wakati wa wazalendo wa ACT-Tanzania kwenda Ikulu.
 
sisi kina gogo la shamba tunasema ACT haipati mbuenge hata mmoja 2015,anaebisha achukue Address yangu alafu tuwasiliane baada ya uchaguzi wa 2915
 
Huo mwaka ndugu, rekebisha kidogo. Unajua '0' imekaribiana na '9' kwenye keyboard za 'qwerty'.
 
Ikulu ni mahali patakatifu wazalendo tutahakikisha mafisadi wanatoka na manyang'au hayaendi.
2015 ni wakati wa wazalendo wa ACT-Tanzania kwenda Ikulu.

Hata mjumbe wa nyumba kumi humpati pimbi we,msaliti we.
 
Ikulu ni mahali patakatifu wazalendo tutahakikisha mafisadi wanatoka na manyang'au hayaendi.
2015 ni wakati wa wazalendo wa ACT-Tanzania kwenda Ikulu.

Kwa muda ulioandika hii thread ni saa 5 usiku, nadhani ni hasira za kunyimwa unyumba na mkeo.
 
Back
Top Bottom