hivi huyo mokira kwanini hakutangulizwa mbele za haki?? aaarrrggg! tumezidi upole sijui ndio uzalendo??
Kwa mwana mapinduzi wa dhati, kila neno ni taarifa. anzia hapo kufanya uchunguzi, na sio kulalamika tu. funguka ki akili, utapata habari kamili.
Si akamatwe basi huyo msangi?
Think utamsoma.Mkuu husomeki kabisaaaaaa. Funguka ili tupate kufahamu ujumbe uliodhamiria kutupatia.
Wakuu kuna ACP Salum Msangi (RPC) Mkoa mpy Ssimiyu na ACP Hemedi Msangi wa kitengo cha Upelelezi makao makuu ya Polisi hivyo msiwachanganye
Nawakumba sana marehemu wote mmoja wapo alikuwa mtoto wa mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Arusha Mzee Kileo akijulina Babuu mwingine mtoto wa Mzee Masumai mwingine kibosho akiitwa Joseph.Wote kwa pamoja walishikwa maeneo ya PPF wazima wa afya baadaye wazazi walipowafuatilia wakaambiwa wamepelekwa kituo cha polisi USA jioni tukapewa taarifa wameshafariki Arusha ikazizima kamanda Ntobi akakimbia wanahabari muda mfupi akahamishiwa mkoa wa Mara wakati huo ACP Msangi alikuwa askari wa cheo cha chini sana hakuguswa na zoezi la kuhamishwa.
Msangi namfahamu alikuwa kituo cha Polisi Usa River arusha then akahamishiwa Morogoro na baadaye Dar. Kama huyu bwana ameingia katika hayo mambo ya uuaji atakuwa amechemka sana .
sawa tu acha apumzike apo aone na wengine wanajiskiaje.Alah? wao tu walipwe ela nyingi.kwani tunaolipwa laki 5 hatufanyi kazi?Chadema itetee haki kwa wote.kuna waalimu 210,000.wafanyakazi wa serekali kibao.madokta,madkta.kazi ni kazi.atuwezi fanya kazi moja wote ila lengo mwishoni wote tupate ela.wanatuulia ndugu zetu wanataka utajiri wa fasta.waende ata freemason basi.wachukue time........Tuache kuwa na akili mgando.Serekali ibanwe itumie ela vizuri,ila na sisi kila mmoja afanye kazi ila taifa liendelee.No lelemama.hela ya bure imetoka wapi?mnaona wachina?Piga kazi sana ila kidogo.baadae maendeleao.Watanzania tunajua sana kuongea na kuchangia.aliye na point nzuri kazini hewa.low production.na serekali dhaifu atutaki.tunataka madikteta,sha choka na lawama za kijinga!
Msangi namfahamu alikuwa kituo cha Polisi Usa River arusha then akahamishiwa Morogoro na baadaye Dar. Kama huyu bwana ameingia katika hayo mambo ya uuaji atakuwa amechemka sana .
Ufafanuzi zaidi!! Kuhusika kwa Wasira hapo Juu sina uhakika!! Lakini Msangi yupo katika Jopo la Uchunguzi wa tukio zima la kutekwa kwa Dr Ulimboka!! Inasemekana alipofika kwa Ulimboka Hospital Ulimboka alipomtazama Msangi akamgundua akamwambia nipatie simu yangu na Wallet yangu!!!! Hii inadhihilisha Kamanda Msangi kahusika tukio zima, halafu yeyemwenyewe anapewa Jukumu la kupeleleza!!!! Nimemsaidia MwanaharakatiHuru kufunguka.
Wewe nyosha maneno acha kukurupuka wewe Mwanaharakatihuru tazama hapo kwenye red
Mwanaharakatihuru hivi huyo jamaa anaitwa Salim Msangi au ni Ahmed Msangi anayeonekana hapo chini?Usiku wa tukio lilomkuta ndugu Dr. Stephen Wasira ulikuwa wapi? Na je kuna shahidi yeyote atakayethibitisha hili? Ndugu salim kituo chako cha kazi ni wapi?
Na je gari lako ni aina gani? Je katika kituo chako ni magari mangapi yapo? Na je katika vituo vyote vya polisi dsm kuna escudo ngapi nyeusi zimekamatwa.
Na je unaweza kukana uvumi huu kuwa una mkono nyuma ya tukio la dr ulimboka na je ni kweli unachukulia mgomo huu kidini zaidi ya kimaboresho katika sector ya afya. WanaJF nakamilisha mahojiano na mtu wa ndani ya familia yake hapa nitawapa majibu punde haya mengine yake. Kamwe ubaya haufichiki nawe mokira muhimbili ulikuwa unawasiliana na nani? Aluta continua