Mwanaharakatihuru
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 477
- 120
Wewe nyosha maneno acha kukurupuka wewe Mwanaharakatihuru tazama hapo kwenye redUsiku wa tukio lilomkuta ndugu dr Stephen Wasira ulikuwa wapi? Na je kuna shahidi yeyote atakayethibitisha hili? Ndugu salim kituo chako cha kazi ni wapi? Na je gari lako ni aina gani? Je katika kituo chako ni magari mangapi yapo? Na je katika vituo vyote vya polisi dsm kuna escudo ngapi nyeusi zimekamatwa. Na je unaweza kukana uvumi huu kuwa una mkono nyuma ya tukio la dr ulimboka na je ni kweli unachukulia mgomo huu kidini zaidi ya kimaboresho katika sector ya afya. WanaJF nakamilisha mahojiano na mtu wa ndani ya familia yake hapa nitawapa majibu punde haya mengine yake. Kamwe ubaya haufichiki nawe mokira muhimbili ulikuwa unawasiliana na nani? Aluta continua
Wewe ndiyo mdini!kwani hakuna waislamu ama wakristu walio magaidi au majasusi?shame upon you!Huna lolote unataka kupandikiza chuki za kidini tu.
Usiku wa tukio lilomkuta ndugu dr Stephen Wasira ulikuwa wapi? Na je kuna shahidi yeyote atakayethibitisha hili? Ndugu salim kituo chako cha kazi ni wapi? Na je gari lako ni aina gani? Je katika kituo chako ni magari mangapi yapo? Na je katika vituo vyote vya polisi dsm kuna escudo ngapi nyeusi zimekamatwa. Na je unaweza kukana uvumi huu kuwa una mkono nyuma ya tukio la dr ulimboka na je ni kweli unachukulia mgomo huu kidini zaidi ya kimaboresho katika sector ya afya. WanaJ
.
Hapo juu kwenye red mkuu, inamaana Wassira naye ameshaukwaa uDr?.
WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
KIBE unawahukumu madaktari kana kwamba wanachodai ni pesa peke yake. Je, unayajua madai yao yote?unapotosha umma tu wewe mzindaki mkubwa.. na tunamuombe huyo dr wenu apone mapema ili aje ahadithi machungu ya kifo ..kwani nyi si mnaona raha sisi ndugu zetu kufa kwa ajili ya fedha na uroho wenu usiokuwa na utu. na uache kueneza chuki kwa watanzania wenye hasira na nyinyi madaktari wapenda fedha ...
Msangi namfahamu alikuwa kituo cha Polisi Usa River arusha then akahamishiwa Morogoro na baadaye Dar. Kama huyu bwana ameingia katika hayo mambo ya uuaji atakuwa amechemka sana .
KIBE unawahukumu madaktari kana kwamba wanachodai ni pesa peke yake. Je, unayajua madai yao yote? Mojawapo ya madai yao ni kuwapo kwa vifaa tiba na madawa kwenye hospitali, pamoja na vitanda vya kutosha na nyenzo nyingine muhimu. Hapo wanadai pesa kwa ajili yao?unapotosha umma tu wewe mzindaki mkubwa.. na tunamuombe huyo dr wenu apone mapema ili aje ahadithi machungu ya kifo ..kwani nyi si mnaona raha sisi ndugu zetu kufa kwa ajili ya fedha na uroho wenu usiokuwa na utu. na uache kueneza chuki kwa watanzania wenye hasira na nyinyi madaktari wapenda fedha ...
Msangi namfahamu alikuwa kituo cha Polisi Usa River arusha then akahamishiwa Morogoro na baadaye Dar. Kama huyu bwana ameingia katika hayo mambo ya uuaji atakuwa amechemka sana .
Usiku wa tukio lilomkuta ndugu dr Stephen Wasira ulikuwa wapi? Na je kuna shahidi yeyote atakayethibitisha hili? Ndugu salim kituo chako cha kazi ni wapi? Na je gari lako ni aina gani? Je katika kituo chako ni magari mangapi yapo? Na je katika vituo vyote vya polisi dsm kuna escudo ngapi nyeusi zimekamatwa. Na je unaweza kukana uvumi huu kuwa una mkono nyuma ya tukio la dr ulimboka na je ni kweli unachukulia mgomo huu kidini zaidi ya kimaboresho katika sector ya afya. WanaJF nakamilisha mahojiano na mtu wa ndani ya familia yake hapa nitawapa majibu punde haya mengine yake. Kamwe ubaya haufichiki nawe mokira muhimbili ulikuwa unawasiliana na nani? Aluta continua
Jamaa sijui ana hasira na WassiraWewe nyosha maneno acha kukurupuka wewe Mwanaharakatihuru tazama hapo kwenye red
Mkuu kwani hata Arusha kazi zake zilikua zipi? rumours has it that he iz used to dirty works