Acheni siasa za kijinga

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,615
12,274
Acheni siasa zakijinga. Wekeni utaifa mbele mkimwaga upupu mkadhani eti watawashwa wale watakalia viti kumbukeni upo upepo kila mtu Ata washwa tena ole wake anaye urusha huo upupu.

Tuache serikali ifanye kazi. Maanaa uwenda ingeliwa nyie mngenyonga watu Kama mngesikia Yale wachache wanafany kuchafuwa taifa.

Acheni siasa za kijinga kumbuken kwa dhambi mwaitenda hakina wakufika kanani yetu. Wengi tutawaacha ktk msitu huu.
 
Nani kaizuiya serikali isifanye kazi za maana?

Tunachopinga ni kuongoza nchi kwa mkono wa damu jambo ambalo linatendeka sasa.
 
Acheni siasa zakijinga. Wekeni utaifa mbele mkimwaga upupu mkadhani eti watawashwa wale watakalia viti kumbukeni upo upepo kila mtu Ata washwa tena ole wake anaye urusha huo upupu.

Tuache serikali ifanye kazi. Maanaa uwenda ingeliwa nyie mngenyonga watu Kama mngesikia Yale wachache wanafany kuchafuwa taifa.

Acheni siasa za kijinga kumbuken kwa dhambi mwaitenda hakina wakufika kanani yetu. Wengi tutawaacha ktk msitu huu.
Leo kawapasha wale vijana wakujiteka wenyewe mle mjengoni,kama wana masikio na wasikie
 
Back
Top Bottom