Acheni Mara Moja Tabia Hii Wanawake & Wanaume

kuna hawa wadada wamijini wanatupa ovyo pampasi za watoto , kuna midada yangu imetoka mjini imekuja nyumbani kwenye sherehe fulani , yani ilivyoondoka njee nzima ilikua imetapakaa pampasi , ilibidi nifanye usafi wa nguvu , nilivyorud job niliitumia msg naona mmeenda mjni kujifunza uchafu , nimeyapiga block sitaki mazungumzo nao mpka huu mwaka uishe.
 
Bandiko zuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…