Habari za weekend wanajukwaa! Hivi nyie mnaokuwa na wapenzi wenu wa moyo then kutwa kujimwambafai oohh juma kanitongoza...hamis ananitaka Mara sweetbert ameniomba tutoke out ila kasema nisikwambie ex wangu Jose juzi kanipigia simu mnakuwa na maana gani??? Kwanini unamwambia mtu wako hizo ishu????
Acheni mambo ya ajabu bana watu wazima ovyooo!![emoji57][emoji57][emoji57]!
Acheni mambo ya ajabu bana watu wazima ovyooo!![emoji57][emoji57][emoji57]!