Acheni kutafuna kucha.

Kweli kabisa ila watafuna kucha ni wa kuwahurumia maana ni uteja flan kuacha ni ngumu sana
Hii tabia inaniudhi sana. Halafu ni rahisi kupata magonjwa kwani hao watafuna kucha huwa hata hawakumbuki mikono yao imepita mitaa ipi.
 
Reactions: BAK
Tuhurumieni tu, maana tumekuwa addicted siyo rahisi kuacha.
 
Nina rafiki yangu ambae alikua na hilo tatizo. Alishauriwa awe anavaa zile kucha artificial. Baada ya kufanya hivyo alijikuta ameachana na hiyo tabia ya kung'ata kucha.
 
Ni Ngumu sana kuacha nimejaribu sana..unaweza kujilazimisha kuacha ..ukapata mawazo flan unawaza..ukija shtuka Mkono upo kwa mdomo....inatokana na kuwa idle...na ukiwa mpweke
 
NI MAUMBILE TU WAJAMENI KUTAFUNA KUCHA HAKUFANYI VIDOLE VIWE VIDOGO
 
Ni kweli,kuna ndugu yangu nae hodari wa kutafuna kucha ila darasani ana akili kwel,pia shosti mmoja nae hivyo hivyo mpaka nikataman kipaji cha kutafuna kucha nikidhan zinaleta akili
Ni ugonjwa, sio kwamba wanapenda
Tuhurumieni tu, maana tumekuwa addicted siyo rahisi kuacha.
Ni Ngumu sana kuacha nimejaribu sana..unaweza kujilazimisha kuacha ..ukapata mawazo flan unawaza..ukija shtuka Mkono upo kwa mdomo....inatokana na kuwa idle...na ukiwa mpweke
Aisee sijui tu nitaachaje kula kucha najitahidi sana ila nashindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…