acheni kujidai

Last edited by a moderator:
sweetlady uliniahidi kunifundisha kiganda. Na Roulette nae akaniahidi darasa la kifaransa.......cha ajabu wote mkatokomea, whats wrong wajameni??
Kipipi kwanza nimekununia vile uapotea afu huniagi......darasa litaanza Bishanga akitupa chumba kwenye lile jumba lake la kifahari lililopo Mbezi beach!
 
Last edited by a moderator:
aise dah yaan watu wanajua kutumia internet na kuchat vizur wanafanya kaz za ajabu hvyo! Embu jaribuni kuchek maujanja yaliyoko ndani ya hii link
My Perfect Internet i wish mtaipenda,mwenye swali baada yakuichake aniulize mwenye kuitaji maelezo kwa kina ani PM Ntamjibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…