PEVU HALISI
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 207
- 85
Umejiandaaje na mwaka mpya mkuu?Unatoa msaada kwa manzi kiroho safi tu, mwisho wa wasiku anakuchukulia kama danga.
Acheni hizo mambo nyie wasichana.. Wanaume wastaarabu bado tupo.
N:B
Baadhi, sio wote.
Nashukuru Mungu mambo yanaenda kama apangavyo .Umejiandaaje na mwaka mpya mkuu?
Vizuri.. Ujumbe umefikaNimecheka!
Kwa wote.. Wanawake, wasichana na wakikeWasichana,,basi sawa
Niache kwanza nitulie missMkuu nisaidie mimi amini nakuambia sitokuchukulia kama danga
Haha umechefukwaNiache kwanza nitulie miss
Yaaani imekujae mkuu umemsaidia afu ye kakudanga...Unatoa msaada kwa manzi kiroho safi tu, mwisho wa wasiku anakuchukulia kama danga.
Acheni hizo mambo nyie wasichana.. Wanaume wastaarabu bado tupo.
N:B
Baadhi, sio wote.
joanah naomba nikusaidie lakini usinidangeNimecheka!
Kweli kabisa ukimsaidia mwanamke anahis unafukuzia kikojoleo chake
😂😂joanah naomba nikusaidie lakini usinidange