Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,728
- 172,010
Noted. Nitakuja kukusalimia mpendwa. Ujibu tu, usiwe kama BADILI TABIA, si-like tena posts zake.
Naomba kujuzwa jinsi ya kubana hizo pm Tafadhali...
Hahaha. Mi nitakuja kukuuliza bei ya tuition mwalimu. Na kama unafanya private/home tutoringKaribu ila ukija na swaga za Kuuliza kama mie ni denti uwe na ada kabisa make ndo nipo form three C
Hahahahahahahahaha loh
Nimepita hapa
Noted. Nitakuja kukusalimia mpendwa. Ujibu tu, usiwe kama BADILI TABIA, si-like tena posts zake.
Mnaleta michosho tu hamna ishu, waja pm kuuliza kama nasoma au vepe mfyuuuuuu wataka kunilipia ada teh
Karibu ila ukija na swaga za Kuuliza kama mie ni denti uwe na ada kabisa make ndo nipo form three C
Na we mbanaji??
Kisa cha kubana pm ni nini???
Ila kujibiwa majaaliwa
Huko pm naweza kukaa hata miezi 3 sijapita
ni kuwasiliana kwa ukaribu zaidi na kushauriana kwa mambo ya pembeni!!
Kwani madhumuni ya pm ni nini Mr. kiwatengu
Kiukwel siyo tabia nzuri kufungia wanaume pm. Ila pia mnaboaga huko mikija mnakuwa amna hata pesa njaa tu
Vibaya hivyo mpendwa..hata mm unaniweka pending??
Pm hakuna mzuka bana.....
Mambo yote hapa hapa
Nipo usiponiona hapa ujue nipo bize pm kama kiwatengu lol