Acheni hizo warembo mnatubania sana!

Acheni hizo warembo mnatubania sana!

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,295
Reaction score
17,795
Sio kama nalalamika...
Dah!! Kuna kamtindo kamezuka humu ndani baadhi ya warembo kuzibana PM zao! Nimeongea na baadhi na wanadai wanakwepa usumbufu, sasa kwani kila usumbufu lazma muujibu?

Kuna michongo mingine positive ati, mtaikosa hivi hivi...
Ishu yakukwepa usumbufu msi itatue kwa kufunga PM check out then ignore...
Mnatunyima raha wazee wakushinda PM..
 
Utajibeba........piga pin PM zote dadeki......hakuna........
 
Inaonesha jinsi gani wanaume wa humu MMU mlivyo desperate kupata papuchi,
 
wanaringa saaana,subir wafikishe 30....jeur zinapowaishia
 
Back
Top Bottom