mambomengi
JF-Expert Member
- May 16, 2009
- 829
- 242
Nikiwa mwana mabadiliko nje ya ccm.. yaani mwana Ukawa halisi.. . roho imeniuma sana baada ya kusoma Kifo cha Mh. Filikunjombe Deo kwenye akaunti ya tweeter ya Mh. Jerry Silaa.... sababu ziko tele kwa nini nimeumia sana kwani kila mtu anazijua (mapambano ya haki kwa watz)... kifupi, wapenda mabadiliko nje ya ccm hawachukii chama (ccm) bali yatendwayo ndani ya ccm.
Tukiwa bado tuna majonzi ya wapambanaji wengi kama Mtoi, Makaidi, Mtikila na pia kina Selina, Kigoda... Mgombea ubunge wa ACT Arusha n.k.... kwa kweli uchaguzi wa mwaka huu umeleta shida kubwa...... wapo pia walio nusurika ajali wengi tu kama mh. Lembeli...
Zimebaki siku 8 kabla ya kampaini kufungwa, nakuomba sana Mh. Raisi ajaye wa Ukawa, mzee wa anga Mh. Mbowe msitumie chopa kwa kipindi hiki..... tujaribu kupunguza risk iliyo mbele maana japo vifo vya walio wengi havijatokana na chopa ila chopa ni habari nyingine ikiwa na hitilafu au ikifanyiwa mambo..... ( hope waconect dots mtanielewa)
Nawakilisha....
Yaani makufuli aanguke na chopa apone.....labda movie mpya!

Nakuelewa mkuu, na huo ndo msimamo wangu siku zote.... lakini naingiwa hofu kama binadamu... yaliyo tokea kwenye kipindi cha uchaguzi huu yanatisha.... yaani naogopa sana mkuu.... nakumbuka kina Galang, George Saototi na pia naangalia uhasama wa kisiasa ulipo... ni woga tu wa kibinadamu....Haijalishi...Mungu anachukua roho ako sehem yeyote mkuu..waeza usitumie chopa ukafia juu ya lami...xo mi nadhan roho inachokuamuru kwa wakati fulani ndiyo kitu sahihi kwa wakati huo
Nikiwa mwana mabadiliko nje ya ccm.. yaani mwana Ukawa halisi.. . roho imeniuma sana baada ya kusoma Kifo cha Mh. Filikunjombe Deo kwenye akaunti ya tweeter ya Mh. Jerry Silaa.... sababu ziko tele kwa nini nimeumia sana kwani kila mtu anazijua (mapambano ya haki kwa watz)... kifupi, wapenda mabadiliko nje ya ccm hawachukii chama (ccm) bali yatendwayo ndani ya ccm.
Tukiwa bado tuna majonzi ya wapambanaji wengi kama Mtoi, Makaidi, Mtikila na pia kina Selina, Kigoda... Mgombea ubunge wa ACT Arusha n.k.... kwa kweli uchaguzi wa mwaka huu umeleta shida kubwa...... wapo pia walio nusurika ajali wengi tu kama mh. Lembeli...
Zimebaki siku 8 kabla ya kampaini kufungwa, nakuomba sana Mh. Raisi ajaye wa Ukawa, mzee wa anga Mh. Mbowe msitumie chopa kwa kipindi hiki..... tujaribu kupunguza risk iliyo mbele maana japo vifo vya walio wengi havijatokana na chopa ila chopa ni habari nyingine ikiwa na hitilafu au ikifanyiwa mambo..... ( hope waconect dots mtanielewa)
Nawakilisha....
Mungu akikuhitaji weweza kufa hata kwa kicheko, mahaba au juice. Uliowataja wote wa chopa ni mmoja tu. Mtangulize Mungu tutafika.Nikiwa mwana mabadiliko nje ya ccm.. yaani mwana Ukawa halisi.. . roho imeniuma sana baada ya kusoma Kifo cha Mh. Filikunjombe Deo kwenye akaunti ya tweeter ya Mh. Jerry Silaa.... sababu ziko tele kwa nini nimeumia sana kwani kila mtu anazijua (mapambano ya haki kwa watz)... kifupi, wapenda mabadiliko nje ya ccm hawachukii chama (ccm) bali yatendwayo ndani ya ccm.
Tukiwa bado tuna majonzi ya wapambanaji wengi kama Mtoi, Makaidi, Mtikila na pia kina Selina, Kigoda... Mgombea ubunge wa ACT Arusha n.k.... kwa kweli uchaguzi wa mwaka huu umeleta shida kubwa...... wapo pia walio nusurika ajali wengi tu kama mh. Lembeli...
Zimebaki siku 8 kabla ya kampaini kufungwa, nakuomba sana Mh. Raisi ajaye wa Ukawa, mzee wa anga Mh. Mbowe msitumie chopa kwa kipindi hiki..... tujaribu kupunguza risk iliyo mbele maana japo vifo vya walio wengi havijatokana na chopa ila chopa ni habari nyingine ikiwa na hitilafu au ikifanyiwa mambo..... ( hope waconect dots mtanielewa)
Nawakilisha....
Watu wanakufa wakiwa wanakata gogo kwa raha zao sembuse helicopter. Kwa taarifa yako usafiri wa hatari kabisa ni wa gari. In general haya mambo ya kifo ni sandakarawe. Usipoanguka na helicopter kuna kugongwa na gari, kupaliwa chakula, kufa ukiwa umelala or simply kufa tu! Jiweke tayari kila saa, Mtukuze Muumba wako, tenda wema na siku yako ikifika go!Mungu akikuhitaji weweza kufa hata kwa kicheko, mahaba au juice. Uliowataja wote wa chopa ni mmoja tu. Mtangulize Mungu tutafika.
Watu wanakufa wakiwa wanakata gogo kwa raha zao sembuse helicopter. Kwa taarifa yako usafiri wa hatari kabisa ni wa gari. In general haya mambo ya kifo ni sandakarawe. Usipoanguka na helicopter kuna kugon<script id="gpt-impl-0.72284294385463" src="http://partner.googleadservices.com/gpt/pubads_impl_73.js"></script>gwa na gari, kupaliwa chakula, kufa ukiwa umelala or simply kufa tu! Jiweke tayari kila saa, Mtukuze Muumba wako, tenda wema na siku yako ikifika go!
Kwa taarifa yako wataalam wanasema usafiri wa anga ndio salama kuliko usafiri mwingine wowote