Acha watukane bali usiwatukane.lowasa the great

Acha watukane bali usiwatukane.lowasa the great

JMBONDE

Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
5
Reaction score
0
Wapo walikuambia bora umekuja ukawa et ufie ukawa wakafa wao.bado wanakutukana lakini vitabu vitakatifu vinasema ajikwezae hushushwa.Ndugu watanzania wenzangu HV kwa yote tuliyofanyiwa Na ccm kama tutaichagua tena basi hata mola atatutelekeza maana uozo wote wa ccm tumeonyeshwa.kama ni walimu mpaka viboki mkachapwa,wazee wa E.A.C walipodai haki zao. walipigwa mabomu,watoto wetu wanasoma wakikaa chini,wanawake wanazalia chini.barabara zilizojengwa Na kodi zetu Na misaada ni vichochoro Na ndo maana ajali kila kukicha tunashindwa hata Na Rwanda kwa miundo mbinu.wanyama wetu wanauzwa bado kuuwawa wakiiba pembe za ndovu.Sheria kufanya kazi tu kwa maskini.kuua viwanda Na ukosefu wa ajira.inauma Sana nguvu kazi ya taifa vijana kuokota chupa Mh ccm mna laana.watoto wao wanakula bats Na kupatiwa ajira hata kama elimu ndogo.Wanapiga dili Na wawekezaje kubana mishahara ya wafanyakazi.kutokua Na dira ya kitecknolojia Na elimu kwa Tanzania kushindana kimaendeleo ya masoko.Jamani hua wanamaneno matamu sana lakini c watekelezaji.Tanzania jitafakari kwanza ndo ufanye maamuzi
 
Back
Top Bottom