Acha waisome namba eeh! ccm mbele kwa mbeleeee! waache waandamane eeeh! CCM mbele kwa mbeleeee!Uhuni wa kisiasa sasa umefika mwisho, ama kweli haki haichangamani na batili na kwa kawaida haki ikisimama batili hujitenga! Sasa ni kazi tu!
cc. MwanaDiwani The Boss Pasco Mkandara Nguruvi3 Mchambuzi JokaKuu Kiranga Lizaboni ZeMarcopolo na ndugu yangu chama ambaye tumepoteana kwa muda.
I hope una ufahamu wa kujua what is wrong and what is right...matusi hapo ni yapi?
Unamtisha nani kwa faida ya nani, wakati JF ni jukwaa huru kwa Mtanzania yeyote yule kushare feelings zake pasipo kuingilia uhuru wa mwingine kwa muktadha wa kuvunja katiba ya Nchi...Hivi lini CCM ikawa ni kitu kinchozungumzika kwa raia mwingine kama Tusi la kikatiba au la kuvunja sheria ni binadamu mwenye Upumbavu na Ulofa pekee ndiye anae weza tamka kuzungumza ama kufanya majadiliano na wenzie kuhusu CCM kwao ni tusi la nguoni..tena nia aibu mtu yuko kwenye jukwaa la Siasa ama Uchaguzi kutoa michango yenye sura ya kuwatisha wengine eti nakusihi wewe nani JF...Modertors watwambie kama account zetu humu kuwemo JF zimekuwa jukwaa la watu maalumu ambao wakiskia mtu anaizungumzia CCM kwao ni matusi basi tujue kuwa sie wengine kama raia wa Tanzania na JF ni Jukwa la Watanzania tunabaguliwa kushare na kuexpress mawazo yetu kwa faida ya Taifa letu...Kutushirikisha upuuzi wa CCM mwanzo wa siku huku kwetu ni tusi la nguoni. Nakusihi acha matusi kwa mara ya mwisho.
Ukiwa Mpenda Haki Daima Ufisadi, Dhuruma, Ushirikina, Wizi, Utaperi, Uongo, Uzinzi, Unafiki vitakuwa si sehemu ya mawazo yako bali Ukweli, Uadilifu na hofu ya Mungu na kutenda mema kwa wenzio na Taifa lako itakuwa ni sehemu ya maisha yako...Nitasema kweli Daima fitina kwangu mwiko...Nashiriki siasa kwa kuwa ni haki yangu...
Muda ukifika itabidi tena Serikali ianze kuwasaidia kuweka uliznai kwa walio kuwa wakionekana kuwa ndio wakombozi... stay tuned kwa wasio jifunza kwa kusikia bali wanajifunza kwa kuona....ukiona picha nayo ukishindwa kusoma usilaumu UPOFU WAKO...
Nimevutika na wimbo huuu.....chini toka kwa Betlehem
Kama ni msomi kuna masomo uliyapitia ukiyatumia unaweza kuwa na sura ya projection ya outcome ya mtizamo wa mambo mengi yanayokuzunguka katika maisha yako ikiwemo kujua ukifika wakati wa kuoa utaoa mwanamke wa Haiba gani, Umri gani na hata rangi gani inayokuvutia ...ukurupuki kusema naoa kwa mshawasha wa marafiki, au familia.Ushindi wenye justification.
Ukiwa Mpenda Haki Daima Ufisadi, Dhuruma, Ushirikina, Wizi, Utaperi, Uongo, Uzinzi, Unafiki vitakuwa si sehemu ya mawazo yako bali Ukweli, Uadilifu na hofu ya Mungu na kutenda mema kwa wenzio na Taifa lako itakuwa ni sehemu ya maisha yako...Nitasema kweli Daima fitina kwangu mwiko...Nashiriki siasa kwa kuwa ni haki yangu...
Muda ukifika itabidi tena Serikali ianze kuwasaidia kuweka uliznai kwa walio kuwa wakionekana kuwa ndio wakombozi... stay tuned kwa wasio jifunza kwa kusikia bali wanajifunza kwa kuona....ukiona picha nayo ukishindwa kusoma usilaumu UPOFU WAKO...
Nimevutika na wimbo huuu.....chini toka kwa Betlehem
Unamtisha nani kwa faida ya nani, wakati JF ni jukwaa huru kwa Mtanzania yeyote yule kushare feelings zake pasipo kuingilia uhuru wa mwingine kwa muktadha wa kuvunja katiba ya Nchi...Hivi lini CCM ikawa ni kitu kinchozungumzika kwa raia mwingine kama Tusi la kikatiba au la kuvunja sheria ni binadamu mwenye Upumbavu na Ulofa pekee ndiye anae weza tamka kuzungumza ama kufanya majadiliano na wenzie kuhusu CCM kwao ni tusi la nguoni..tena nia aibu mtu yuko kwenye jukwaa la Siasa ama Uchaguzi kutoa michango yenye sura ya kuwatisha wengine eti nakusihi wewe nani JF...Modertors watwambie kama account zetu humu kuwemo JF zimekuwa jukwaa la watu maalumu ambao wakiskia mtu anaizungumzia CCM kwao ni matusi basi tujue kuwa sie wengine kama raia wa Tanzania na JF ni Jukwa la Watanzania tunabaguliwa kushare na kuexpress mawazo yetu kwa faida ya Taifa letu...
Moderators ...nitakomaa na sentensi hii mpaka na kitaeleweka....nijue kujadilia CCM kama ni kosa JF...

Mgonjwa wakati mwingine ajitambui mpaka wengine wamwambie mgonjwa..unaniita PM wakati mada yangu ni where we Dare !!!Sema huko wapi niku PM iliweje kwa faida ya nani..wakati mjadala wangu ni huru..ningekuwa na shida na wewe ningekufuata PM nikaaanzisha mada hiina wewe kama una nihusu...sina cha kujadiliana na wenye mapungufu ya hoja ukimbilia kujitanabaisha na aina fulani ya mambo NAKUPUUZA...Usishirikishe moderators njoo pm nikuambie nilipo ila usituletee msongo wa mawazo na mkoloni mweusi kwa nyimbo za kutukumbusha machungu. Unamtisha nani kama akina Masha hadi wamewekwa ndani.........
Mgonjwa wakati mwingine ajitambui mpaka wengine wamwambie mgonjwa..unaniita PM wakati mada yangu ni where we Dare !!!Sema huko wapi niku PM iliweje kwa faida ya nani..wakati mjadala wangu ni huru..ningekuwa na shida na wewe ningekufuata PM nikaaanzisha mada hiina wewe kama una nihusu...sina cha kujadiliana na wenye mapungufu ya hoja ukimbilia kujitanabaisha na aina fulani ya mambo NAKUPUUZA...
CCM ndio naniiii?
nasubiri ripot ya Dr.wa wavichwa ili nijibishane na wweBaba yako na mama yako