AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,649
- 4,756
Nipo katika harakati za kuongeza mke...Wewe upo kundi gani hapo
WALLAHI WARABBII...IKIWA HAYA UNAYOYAONGEA YAPO KWENYE MAISHA YAKO HALISI...BASI ALLAH AMEMNEEMESHA MUMEO MKE MWEMA SANA...Tukiacha kutarajia mambo mengi kwenye ndoa na tukayapokea yote bas mtaish kwa amani
Ukishajua mwenzangu hajakamilika ukayakubali madhaifu yake ukayaishi nayo pamoja naye bas kuna vitu vidogo vidogo mnaweza kuviepuka
Ukiingia ndoani unatakiwa uwe umeridhia kwa thabiti ya moyo wako ukiwa na hofu ya Mungu ukamueka mbele na ukazidi kumcha yeye bas hata riziki ndogondogo huingia,
Mwisho kuolewa ni majaliwa, kwa ambae hajabahatika kuipata ndoa hata asikate tamaa maadam bado mtu anapumua bas riziki yake i njiani itamfikia tu kwa wakati husika
Na wale waliobahatika kuipata wakawe ni wake wema wenye kuwatii na kuwaheshim waume zao, waume nao wawe ni wenye kuwaheshim wake zao vile vile, na tuache ujinga wa kua et huridhishwi na mke/ mume ukaenda zini nje ya ndoa twapaswa kukaa chini na kuelekezana huyo ndio chaguo lako, tuache kuipa nafasi dunia na tufanye yale tulioamrishwa na tumuogope Mungu popote tulipo.
nisijikweze bure na haitakua na mana nikiongopaWALLAHI WARABBII...IKIWA HAYA UNAYOYAONGEA YAPO KWENYE MAISHA YAKO HALISI...BASI ALLAH AMEMNEEMESHA MUMEO MKE MWEMA SANA...
ALLAH ANAWAPA WAJA WAKE HUURUL I'YN WAO HAPA HAPA DUNIANI...ALLAH AKULIPE KWA HAYO...nisijikweze bure na haitakua na mana nikiongopa
Hivi ndio naishi na mume wangu na Allah ni shahid wa nafsi yangu
aamyn inshallahALLAH ANAWAPA WAJA WAKE HUURUL I'YN WAO HAPA HAPA DUNIANI...ALLAH AKULIPE KWA HAYO...
Pesa unazo? Usiongeze mke kumbe mmoja kuhudumia kwa mafundomafundoNipo katika harakati za kuongeza mke...
Hata huyu wakati namuoa sikuwa na pesa...Pesa unazo? Usiongeze mke kumbe mmoja kuhudumia kwa mafundomafundo
Huyo mume hakika anafaidi mema mengi ya dunia hiinisijikweze bure na haitakua na mana nikiongopa
Hivi ndio naishi na mume wangu na Allah ni shahid wa nafsi yangu
Hata huyu wakati namuoa sikuwa na pesa...
KILA MTU ANA RIZKI YAKE...NINGEKUWA MIMI NDIYE NAWALISHA...BASI HATA HUYU NILIYE NAE NISINGEWEZA KUMLISHA HATA SIKU MOJA...
Nashukuru kama umeelewa...Duh okay