kwa mfano lets say kipind mtu anatangaza nia si unajua yale mahaba ya mwanzo yale aki ionesha tu basi mwenzio najaa mzima mzima baada ya hapo naanza kuteseka mwishoe naona kawaida tunaendeleA
Yaani kile kipindi cha kutangaza nia kitamuuuu.
I love the song ninaweza kuusikiliza siku nzima
haaha sana unaeza ukapewa moyo
Kumbe tuko wengi, hata mie kwakweli naupenda, sijuagi umeimbwa na nani
jamaa mmoja anaitwa barakah da prince
Thanks, nitautafuta you tube
Duh! wimbo mzuri! bt maelezo ya mtoa mada!!!! ngoja nipite tu
Uwe dedication toka kwangu.
Duh! mtoa mada hueleweki!