yote majibu kwani hata ukimpenda haungonoki??????😂😂😂😂😂
nilijua nipo mwenyewe crayz over this song
kwani nina nini hahaaaah hata magwiji wanapataga wajanja wenzaoo ila nimemis kibuti kupigwa ile unaacha kula,hulali hahah
hakika mimi sema huwaga nina kiherehere nikiona mtu ananipenda kidogo naingia mzima mzimaHahahaaaaaa!! Kwaweli bora upendwe kuliko kupenda, mwisho utalia kama baraka da prince.
wewe ujakutana nacho nakwambiA mi yamenikuta na mvi zanguHuwezi kutamani kwa ajili ya ngono afu ukaweweseka. Labda uwe underage, lakini eti kutaka kipozeo na umri huu nianze kutoa majasho..
hakika mimi sema huwaga nina kiherehere nikiona mtu ananipenda kidogo naingia mzima mzima
watu wanapenda kukaa kikakamavu kila wakati hahahH kama tupo jeshiniwalaaa wenye mahaba nao tuko wengi tu nashangaa watu wanatoka povu bila sababu
Hahahaaaa! Sasa unaingia kwa wangapi? Maana kupendwa lazima upendwe na wengi
watu wanapenda kukaa kikakamavu kila wakati hahahH kama tupo jeshini
kilkchokufanya usome na hadi kukomenti ni nini???Bora huo muda ningesoma hata gazeti.....
sanaa yaani ni bora wale wanaoonesha live kkama wanaumia au mambo kama hayo hayo ni rahisi kuponaTeh teh!! hao wanaojifanya wakakamavu ndo wahanga wakubwa wanahusika
Kibuti hadi kukosa usingizi au appetite za ma teenagrer
wewe ujakutana nacho nakwambiA mi yamenikuta na mvi zangu
kilkchokufanya usome na hadi kukomenti ni nini???
acha kufake life jombaaa
pita hivi👉👉👉👉👉
haah zile zinaitwa vuzi sio mviHahaaa... Umeshaota za kwa bibi??
Kuna sehemu kaimba huo muda bora ningesoma hata gazeti
sanaa yaani ni bora wale wanaoonesha live kkama wanaumia au mambo kama hayo hayo ni rahisi kupona
ukimtongoza mtu akikataa haimaanishi ni msagaji
dont get twisted boy!
umefanya la maana sana kuna jamaa hapo juu alitaka audio yake kabisaHome
View web version
mashairi tanzania
siachani nawe by Baraka da
Prince
(verse1)
Wakati nalainisha moyo kupenda sio kama
ninakosea
ipo sababu ya mimi kurejesha namba ambayo
ilipotea
hali ya mtoto kumsusa mama akishachapwa
ni sawa na mapenzi
ukishapendwa
unasahau hata kama ulishafanyiwaga ushenzi
nakumbuka nilijuta sana kupenda kupenda
kusikokua na thamani
ila hitaji la moyo lalazimisha kurudia zamani
(chorus)
mimi bado nina imani
ipo siku utanipa thamani
mimi bado nina imani
jua me siachani nawe
na sishindani nawe
maana upo moyoni ndani
acha nisote mie
ila me siachani nawe
na sishindani nawe
maana upo moyoni ndani
wacha nisote mie
(verse2)
labda juu ya kaburi utanipenda mimi nikiwa sina
uhai
hisia zangu haziheshimiwi najidharau sifai
heri ya upofu wa macho
kwa yale nayoyaona
umeruhusu mboni zangu me kumwaga machozi
yaani ungejua hisia za mapenzi
kutesa moyo ila bado hazichoshi
kupendwa sipendwi najua wazi ila bado silingi
maana kesho nitaurubuni moyo
unapendwa na unapenda me meno ila najiona
kibogoyo
kweli penzi donda moyo
(chorus)
mimi bado nina imani
ipo siku utanipa thamani
mimi bado nina imani
jua me siachani nawe
na sishindani nawe
maana upo moyoni ndani
acha nisote mie
ila me siachani nawe
na sishindani nawe
maana upo moyoni ndani
wacha nisote mie
Watakufa wamenunaa!