Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Seebooo,.... Boss..... ale nipatie shawarma...... boss.....
Hhahahahahahahha haki ya nani utasema nimevutamsuba kumbeee niko soba asilimia 500 ila basi tuu. Shemeji alipoteuliwa tulicheza bolingo usiku kucha sasa shemeji ameondolewa basi acha tuu niselebuke maana ngoma ndo asili yangu.
Zamani zile hata kwenye misiba kulikuwa na ngoma na watu wanacheza kwelikweli. Basi baada ya kutunguliwa kutoka malmaka nyeti mie napiga bolingo tuu mwanzo mwisho maana tukianza kupga simu kutoa pole ni kumuongezea huzuni tuu. Ila kwa hili lisongi kwanza hata mwenyewe na shosti angu watanyanyuka tucheze sebene weeh hadi pakuchee.
Japo sio weekend ila ndo hivo mbiu ishalia na mie hadi ijumaa ifikee, ntakuwa nshamaliza santuri zote za kikongo.
Hapana chezea Papaa Koffi Olomidee tangu enzi zake hadi sasa bado ana bamba nikiunganisha na santuri za Falliipupa...... ni raha ndani ya burudani.
Haya twende pamoja.... kamatia kiuno sawasawa..... kalembe lembeee malembeee...
Yooukamotoo.... lile besi la Koffi mie hooiiii hahahahahahhahahaaa
Sheemeegiiiiiiii... makwandumeee baaabaaaa....
Swing swing..... asiyeweza kukata mauno akunje magotii au apakatie pakacha lake kitaeleweka tuu aahahahahahaaa😉
Seeeboooo Kasie....
Iloloo....
Kasie Bolingo Matata.