Acha Marekani atawale dunia na kuzionea nchi masikini

feyzal

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
6,807
12,677
Wakuu habari

Sina maneno ila leo wakati naangalia capital tv kuna kipindi cha afya nikawa naangalia walikua wanazungumzia virusi vya ukimwi. Daktari alikua anazungumzia hatua ilizopiga serikali katika kutoa huduma akatolea mfano wa kopo moja wa dawa za ARV ambazo tle(tenofivir,lamivudin na efavirenz) kuwa bei ya kopo moja ni milioni 24. Narudia bei ya kopo moja ni milioni 24 pesa taslimu za kitanzania.

Hapo nimepata picha ndo maana wakina Pompeo wanaweza kukuamrisha chochote na ukawa huna namna,ukithubutu tu kuwapinga wanakata kwa msaada wa watu wamarekani hapo ina fita ni fita mura. Tutakufa kama kuku,wakuu tujitahidi kujilinda na grid ya taifa maana kwa hiyo bei hakuna anayeweza kumudu ikitokea wamesitisha msaada.

Bado sijajua dawa zingine kama za tb nazo ni shilingi ngapi.

Sent using jamii forums mobile app
 
Waafrika tuache ngono, zembe hatutapata Ukimwi, Pia tufanye kazi kwa bidii na tuzingatie elimu hapo tutaweza kuzalisha bidhaa zetu wenyewe na hatutamtegemea USA wala China, vinginevyo tutasimangwa tu
 
Wakuu habari

Sina maneno ila leo wakati naangalia capital tv kuna kipindi cha afya nikawa naangalia walikua wanazungumzia virusi vya ukimwi. Daktari alikua anazungumzia hatua ilizopiga serikali katika kutoa huduma akatolea mfano wa kopo moja wa dawa za arv ambazo tle(tenofivir,lamivudin na efavirenz) kuwa bei ya kopo moja ni milioni 24 ....Narudia bei ya kopo moja ni milioni 24 pesa taslimu za kitanzani.

Hapo nimepata picha ndo maana wakina Pompeo wanaweza kukuamrisha chochote na ukawa huna namna,ukithubutu tu kuwapinga wanakata kwa msaada wa watu wamarekani hapo ina fita ni fita mura. Tutakufa kama kuku,wakuu tujitahidi kujilinda na grid ya taifa maana kwa hiyo bei hakuna anayeweza kumudu ikitokea wamesitisha msaada.

Bado sijajua dawa zingine kama za tb nazo ni shilingi ngapi.

Sent using jamii forums mobile app
mkuu ungeeleweka vizuri kwetu sisi wadadisi kama ungetuambia hilo kopo moja linatumika kwa watu wangapi na siku ngapi
lakini ukiishia kusema kopo moja ni tshs 24m hatuelewi. fafanua mkuu
na utuambie tunashindwaje sis kupata hiyo hela wakati tuna raslmali kibao, ikiwemo madini ambayo tumewagawia bure hao akina Pompeo
 
Mkuu kopo moja linabeba vidonge 30 na ni matumizi ya mtu mmoja kwa mwezi mmoja.

Sasa mtu mmoja kwa mwaka mmoja anatumia vidonge vyenye thamani ya milioni 288 sasa jiulize kama tunaweza kumudu kama nchi,.
mkuu ungeeleweka vizuri kwetu sisi wadadisi kama ungetuambia hilo kopo moja linatumika kwa watu wangapi na siku ngapi
lakini ukiishia kusema kopo moja ni tshs 24m hatuelewi. fafanua mkuu
na utuambie tunashindwaje sis kupata hiyo hela wakati tuna raslmali kibao, ikiwemo madini ambayo tumewagawia bure hao akina Pompeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari

Sina maneno ila leo wakati naangalia capital tv kuna kipindi cha afya nikawa naangalia walikua wanazungumzia virusi vya ukimwi. Daktari alikua anazungumzia hatua ilizopiga serikali katika kutoa huduma akatolea mfano wa kopo moja wa dawa za ARV ambazo tle(tenofivir,lamivudin na efavirenz) kuwa bei ya kopo moja ni milioni 24. Narudia bei ya kopo moja ni milioni 24 pesa taslimu za kitanzania.

Hapo nimepata picha ndo maana wakina Pompeo wanaweza kukuamrisha chochote na ukawa huna namna,ukithubutu tu kuwapinga wanakata kwa msaada wa watu wamarekani hapo ina fita ni fita mura. Tutakufa kama kuku,wakuu tujitahidi kujilinda na grid ya taifa maana kwa hiyo bei hakuna anayeweza kumudu ikitokea wamesitisha msaada.

Bado sijajua dawa zingine kama za tb nazo ni shilingi ngapi.

Sent using jamii forums mobile app
Bila shaka utakuwa na huo ugonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom