Acha uongo Hivi mwanaume kupiga na kusepa inawaumiza nini nyinyi wanawake?? hata nikikuacha, raha ya ngono si tulipata wote?? Labda nikukimbie wakati una mimba yangu, na ushanitambulisha Kwa ndugu zako, hapo sasa ntakuwa nimekosa, Pia kuna wanawake wana tabia ya kugegedwa na wanaume, half baada ya ngono, wanawaacha hao wanaume..hawa unawaongeleaje
Karma