Kwahiyo unataka kuniambia kwamba hao madem wewe unaowaita Wa " uswahilini" hawana haki ya kupendwa!??
Wa uswaz ukitenga ka laki mbili sehemu ,ukawa unampa kidogo kidogo,inaweza kuisha hata miezi mitatu,simu ya kitochi wanatumia bila shida,shopping gulioni nguo za elf 7 anavaa,kivumbi hao classic,samsung galaxy s7 edge utoe...gauni 70000,kiatu 55000,halafu wengi hawana maajabu chumbani,wa uswahili ukute amefundwa akaiva,mbona utakoma , tatizo la wa uswaz washirikina sana,watakulisha mauchafu.Wanawake classic basi hata Mizinga yao ni CLASSIC haswa.Ila demu wa uswahilini mizinga yao ya kawaida.
Acha uongo Hivi mwanaume kupiga na kusepa inawaumiza nini nyinyi wanawake?? hata nikikuacha, raha ya ngono si tulipata wote?? Labda nikukimbie wakati una mimba yangu, na ushanitambulisha Kwa ndugu zako, hapo sasa ntakuwa nimekosa, Pia kuna wanawake wana tabia ya kugegedwa na wanaume, half baada ya ngono, wanawaacha hao wanaume..hawa unawaongeleaje Karma