Riskytaker
Senior Member
- Mar 14, 2024
- 156
- 706
Inategemea na huyo mtu au ndugu unayemsaidia, uzoefu unaonyesha kwamba ndugu wengi zaidi huwa hawasaidiki wala hawabebeki hata kwa mbeleko ya chuma.Sometimes kuchomoko kwenye cycle ya umasikini inahitaji upate mtu wa kukushika mkono.
Unfortunately waswahili hatuna ustaarabu wa kusaidiana tunadhani ukimsaidia mtu atakuzidi mafanikio
Haya maisha ni kama yameamua kua serious hakuna huruma kwa maskini.
You have to play so hard perpendicular na watu wa kukupushi
Kuna watu wanastrugle lakini mambo yanakataa
Tuna hadithi nyingi sana za watu walioshikwa mkono wakatoboa.
Saidia ndugu yako kataa umaskini
Asikae nyumbani kwako.Msaidie akiwa mbali.Unaemsaidia ndiye anakuja kukutombea mke wako
Bora ukatili tu..
Kama umeoa Malaya atatombwa hata na watu ambao huwajawahi waonaUnaemsaidia ndiye anakuja kukutombea mke wako
Bora ukatili tu..
Ujumbe mzito sana huu, mtaani mambo ya kipato ni magumuKama wewe ni masikini wa kutupwa usilete kiumbe duniani.
Ni ushauri tu.
Akili za utegemezi kwa mfano ikitokea mtu ukamsaidia kiroho safi ,basi akili yake itakutegemea zaidi milele.Waswahili hawasidiki asilimia kubwa maana tatizo lao sio pesa linalowafanya wawe masikini bali mfumo AKILI ndo unashida.
Mungu tunusuruSometimes kuchomoko kwenye cycle ya umasikini inahitaji upate mtu wa kukushika mkono.
Unfortunately waswahili hatuna ustaarabu wa kusaidiana tunadhani ukimsaidia mtu atakuzidi mafanikio
Haya maisha ni kama yameamua kua serious hakuna huruma kwa maskini.
You have to play so hard perpendicular na watu wa kukupushi
Kuna watu wanastrugle lakini mambo yanakataa
Tuna hadithi nyingi sana za watu walioshikwa mkono wakatoboa.
Saidia ndugu yako kataa umaskini
Hapo sasa Utakua umeoa MalayaUnaemsaidia ndiye anakuja kukutombea mke wako
Bora ukatili tu..