DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,319
- 83,202
Upo sahihi Mkuu.Ghetto sio sehemu ya kuleta Malaya maana malaya kabla hajaingia kazini kuna michezo huwa wanafanya so naelewa Sana maana natokea Bukoba ambako Malaya wamezaliwa
Then kuhusu mademu personally usiruhusu kumuingiza gheto hii itakusaidia labda Kama hilo gheto haulali hapo.
Hadi karne hii unaishi kwa kuangalia watakuonaje watasemaje kijana unasafari ndefu sana.Habari zenu Wakuu,
Nimekuwa naona vijana wenzangu wakiingiza mademu/Malaya kila uchwao kwenye mageto yao bila ya kujali watu waliowazunguka. Kiukweli ni image mbaya wanajijengea kwa jamii maana maneno yanasambazwa na kufikia hatua ya kuonyeshewa Vidole.
Kuingiza Demu sio kosa Wakuu, ila kuingiza mademu na kuwalala kwenye kitanda chako sio jambo zuri kijamii na kiakili. Unakuta kijana anaishi peke yake ila kila wikiendi anaingiza malaya ndani, na cha ajabu ni kwamba hafikirii wala kujali taswira yake kwenye jamii.
Nb. Maneno ya watu yana sambaa na yana nguvu sana, jizuie kuingia Malaya ndani ujenge taswira nzuri kwa jamii.
UZI TAYARI
Tafuta kazi ya kufanyaSababu yawewe kupanga ni kula Mbunye?
HESHIMA HUWA INAJENGWA, HUWEZI JUA HAO WAPANGAJI UNAOISHI NAO WANAWEZA KUWA MASHEMEJI HUKO MBELENI. WAKAKUKATAA KWASABABU YA HISTORIA YAKO CHAFU.
Mzee kuna big brother sijui umeiona....? Mbona unaanika ushamba wako hadharaniKuleta Demu sio inshu, inshu ni kule mademu kama una DANGURO ndani kwako.
Zingatia : BINADAMU HUPANDISHWA NA WATU NA PIA HUSHUSHWA NA WATU WALIOMZUNGUKA.
Unahofu mpangaji mwenzio kiwembe asije kukuchapia wanao mkuu[emoji4]Kabisa Mkuu, unakuta mtu amezungukwa na wapangaji wenye familia zao lakini bado anaingia wanawake kilasiku.
NI TABIA MBAYA SANA.
Hamna mwanaume anaejielewa akamla mwanamke aliepanga nae nyumba mojaSababu yawewe kupanga ni kula Mbunye?
HESHIMA HUWA INAJENGWA, HUWEZI JUA HAO WAPANGAJI UNAOISHI NAO WANAWEZA KUWA MASHEMEJI HUKO MBELENI. WAKAKUKATAA KWASABABU YA HISTORIA YAKO CHAFU.
Mkuu inasikitisha sana, kama kijana una mademu wengi jitabidi kuchinjia atagest za bei chee kama kibunda hakisomi.Habari zenu Wakuu,
Nimekuwa naona vijana wenzangu wakiingiza mademu/Malaya kila uchwao kwenye mageto yao bila ya kujali watu waliowazunguka. Kiukweli ni image mbaya wanajijengea kwa jamii maana maneno yanasambazwa na kufikia hatua ya kuonyeshewa Vidole.
Kuingiza Demu sio kosa Wakuu, ila kuingiza mademu na kuwalala kwenye kitanda chako sio jambo zuri kijamii na kiakili. Unakuta kijana anaishi peke yake ila kila wikiendi anaingiza malaya ndani, na cha ajabu ni kwamba hafikirii wala kujali taswira yake kwenye jamii.
Nb. Maneno ya watu yana sambaa na yana nguvu sana, jizuie kuingia Malaya ndani ujenge taswira nzuri kwa jamii.
UZI TAYARI
Habari zenu Wakuu,

Nenda Guest Mkuu, ni bora utoe 10,000 ya chumba Lodge kuliko kujiharibia kwa watu kuingiza mademu ndani.
Kwahyo kijana kapanga chumba chake unataka akatoe hela lodge alaf chumba kipo wazi hiyo image unayosemea kwenye jamii kama huna mkwanja huwezi ongelewa vizuri laaf sio kila mtu anaiogopa jamii kama unavyowaza usipotoshe vijana zaidi washauri wawe na heshima swala la mapenzi ngono mjini ni jambo la kawaida ukiona watu wanakusema kisa unaingiza madem geto basi wanakutaka au wanawivu juu yako au hawana kazi za kufanyaHabari zenu Wakuu,
Nimekuwa naona vijana wenzangu wakiingiza mademu/Malaya kila uchwao kwenye mageto yao bila ya kujali watu waliowazunguka. Kiukweli ni image mbaya wanajijengea kwa jamii maana maneno yanasambazwa na kufikia hatua ya kuonyeshewa Vidole.
Kuingiza Demu sio kosa Wakuu, ila kuingiza mademu na kuwalala kwenye kitanda chako sio jambo zuri kijamii na kiakili. Unakuta kijana anaishi peke yake ila kila wikiendi anaingiza malaya ndani, na cha ajabu ni kwamba hafikirii wala kujali taswira yake kwenye jamii.
Nb. Maneno ya watu yana sambaa na yana nguvu sana, jizuie kuingia Malaya ndani ujenge taswira nzuri kwa jamii.
UZI TAYARI
Yani nilipe kodi alafu nikapange guest kweli?? Huyo anae nifuatilia aendelee kunifuatilia tu hela nalipa mimi alafu nipangiwe wapi pakupeleka mademu!!
kulala namalaya ni kosa yani kumpeleka unako lala wew ni kosa jingine kubwa ndio maana vijana mishe zinakua ngumu kila kukicha
vitabu vya dini vimekataza kuwa karibu na malaya
Mbaya zaidi Wanalala na malaya kwenye vitanda ambavyo wanatarajia kulalia na wake zao huko mbeleni.
NI LAANA JUU YA LAANA.